Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

Kanuni kwa wanaume wote duniani , ukishakua na mwanamke siku 90 yaani miezi 3 , hapo unamchoka jumla na kitachokibakiza kwake NI tabia zake za kuvutia , utii na heshima, maana ndani ya muda huo WA mahusiano unakua ushaujua mwili wake na ufundi wake wote, , hiyo hua ni Siri na ndio maana mwanaume huanza ujeuri kwa mwanamke baada ya siku 90, hii ni natural formular
 
Kuwa mwanamke kunataka moyo, fikiria mtu anakupiga saundi kwa kukulaghai, anakuhudumia kwa kulaghai, anakudanganya weee, anampa kitumbua kiroho safi kwa kumwamini, anakichezea wee, anakufanyia ufirauni na uchafu mwingi, ukijua anakupenda sana..... afu anaanza kukukinai/kukuchukia na kukuona fala.

Nature is very cruel to women.
Heshima zenu wanawake. Mna moyo.
 
We unawakinai kuna mwingine alisema yeye huwa anajisikia kichefuchefu akiwa katikati ya kuivunja amri ya 6.. zile harufu harufu humfanya ajisikie kichefuchefu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
 
Hata baadhi ya wanaume nao mapema tu huwa wanaboa na huwezi mrudia tena
 
pole mkuu
But usiache kudinya,iyo hali itatoweka tu automatically
 
Uko sawa nami, hata mimi nilifikiri hii tabia ni yangu peke yangu kumbe tuko wengi. Nadhani tabia hii inatokana na ukweli kuwa wanawake wengi siku hizi ni viruka njia, wengi wanatembea na nafsi za kishetani miilini mwao kutokana na kutembea na wanaume wanaowafanya makafara kutokana na tamaa zao za kijinga.
 
Ngoja wazee wa onja onja waje kutoa ushuhuda.
 


Kuna msemo unasema "with women you cant live with them,you cant live without them"

Jitahidi ubalance haya maisha DAWA NI KUBLANCE TU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ