Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

Muonekano mzuri wa nje ya gari ndio kinachovutia, mambo ya ubora wa injini tutakagua baadaye.
Naona Sasa unataka😂kubishana na babu yako, mzee wasira kashasema

"Gari ni engine sio body" Ebu assume kile kiharufu cha samaki kinachotoka kwenye nyapi/exhaust ya pisikali
 
Adam, Daudi, Samson wote walifeli, mimi nimekuwa nani zaidi yao?
 
Alafu muda unao mkinai yeye ndo anakupenda kinoma hadi unatamani ukimbie mkoa
 
Kuna mwamba nimepiga nae story kaniambia kamuoa mwanamke ambae alishawahi kuishi na mwanaume wake kwa miaka 21.

Mimi bila hiyana nikaanza kufanya mahesabu yangu ya kijinga,
Kwa week tendo mara 4, kwa mwezi ni 4 Mara 4 unapata ni Mara 16.
Kwa mwaka ni 16 Mara miezi 12 unapata ni Mara 192.
Ukipiga Mara miaka 20 ni 20 Mara 192 unakuja kupata ni Mara 3840.

Hapo ni kima cha chini, hapo hujahesabia kabla huyo mwanamke hakuolewa alifikisa hadi tuseme Mara 500 ukijumlisha 3840+500 unapata alifanya Mara 4340.

Hapo hujahesabia zile mechi za michepuko ya hapa na pale sio chini ya Mara mia hivyo tujumlishe 4340+100 unapata 4440 ambapo sio mbali sana na Mara 5000.

Yani unakuja kuoa mtu ambae Ameliwa Mara elfu tano, vijana akili mnaziachaga wapi? Kwanini hamuhudhurii vikao?

Kuna mtu ana mashaka na hizo hesabu zangu hapo? Msisahau nimesoma PCM hivyo hamna kitu mtaniambia kwenye hesabu ndogo kama hizo.

Mwenyekiti me nimeondoka
Ni mwendo wa ku-approximate tu mpaka elfu Tano ifike
 
Kukinai ni kawaida ila sio wote, nina list yangu ambayo siwezi kuikinai maisha buku yani tukikutana ni patashika
 
Kuna mwamba nimepiga nae story kaniambia kamuoa mwanamke ambae alishawahi kuishi na mwanaume wake kwa miaka 21.

Mimi bila hiyana nikaanza kufanya mahesabu yangu ya kijinga,
Kwa week tendo mara 4, kwa mwezi ni 4 Mara 4 unapata ni Mara 16.
Kwa mwaka ni 16 Mara miezi 12 unapata ni Mara 192.
Ukipiga Mara miaka 20 ni 20 Mara 192 unakuja kupata ni Mara 3840.

Hapo ni kima cha chini, hapo hujahesabia kabla huyo mwanamke hakuolewa alifikisa hadi tuseme Mara 500 ukijumlisha 3840+500 unapata alifanya Mara 4340.

Hapo hujahesabia zile mechi za michepuko ya hapa na pale sio chini ya Mara mia hivyo tujumlishe 4340+100 unapata 4440 ambapo sio mbali sana na Mara 5000.

Yani unakuja kuoa mtu ambae Ameliwa Mara elfu tano, vijana akili mnaziachaga wapi? Kwanini hamuhudhurii vikao?

Kuna mtu ana mashaka na hizo hesabu zangu hapo? Msisahau nimesoma PCM hivyo hamna kitu mtaniambia kwenye hesabu ndogo kama hizo.

Mwenyekiti me nimeondoka
🤣🤣
 
Wenzangu sielewi mnapita na wa aina gani, lakini kwa upande huu huku kwanza ndio kama nakuwa nimewekewa catalyst. Ile kitu jamani ni tamu hatari na ukute mtoto unamkunjua na anakunjuka acha kabisa. Mimi nawakubali sana kwani wanajua kunipatia vitu vyangu.
Ugali kabeji haufanani na pilau nyama. Ukute washkaji wanakutana na ugali kabeji daily, lazma ukinai.
 
Sasa mkioa itakuwajeee?... imagine uishii na mtuu mpka kifo kiwatenganishee sio mchezooo mjueee..
 
Back
Top Bottom