Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Wale huwezi kuridhika mkuu maana inategemea na aina ya wanawake uliokotana naoWakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu.
Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha kumpata mwanamke, lkn nikiisha mpiga mashine siku mbili tatu namkinai na sitaki tena kumsikia.
Hivi na wanaume wenzangu mko hivi?
Ila waliooa wanawake waliojitunza vizuri unaweza kurudia hata mara tano kwa siku Wala hukinai Kila wakati unakumbuka tu 😊😊😊