Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

Itapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
mavazi ya waarabu unataka na wewe kuiba utamaduni wa waarab. tushashindwa kitambo so tukubali kuwa hatuna mavazi ya kitaifa. unalifahamu vazi lile wanavaa wanawake wa kiganda nadhani linaitwa guma? nilishangaa kuwa mbunifu wake ni mama wa kizungu aliyekuwa anatafuta vazi kwa ajili ya wanafunzi wa shule aliyokuwa akiisimamia.
 
bora vazi la taifa liwe koti misomisondo, shati la brother K, moca ya mkwere, apo shughuli za kitaifa tumemaliza
vazi la burudani tuishi na pigo za wadudu pale chuga
izo ulizotaja za mwarabu
 
Itapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Umesahau pia na chakula cha Taifa kiwe ni urojo! Halafu wananchi wote wa nchi ya Tanganyika tusiwe na visogo kama mlinyo nyinyi watumwa wa Waarabu wa Oman.
 
Hijab ni ya kichwani tu, kwa hiyo unamaanisha mradi mtu amevaa ushungi tayari amevaa vazi la taifa? Bila kujali chini kavaa nini? Kama ni gauni, skinny jeans, kimini, au asivae kitu kabisa mradi ana hijabu basi amemaliza?
 
Mkuu.,una uhakika na ulichokiandika....?
Hijbu sio ya kichwani..isipokuwa ushunguindo WA kichwani
Hijab ni ya kichwani tu, kwa hiyo unamaanisha mradi mtu amevaa ushungi tayari amevaa vazi la taifa? Bila kujali chini kavaa nini? Kama ni gauni, skinny jeans, kimini, au asivae kitu kabisa mradi ana hijabu basi amemaliza?
 
😂😂😂😂😂😂wajomba mnawapa kila kituhadi vazi la taifa....baghosha wanahabarii au tupite kimya kimya tu
 
Back
Top Bottom