Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

Mkuu.,una uhakika na ulichokiandika....?
Hijbu sio ya kichwani..isipokuwa ushunguindo WA kichwani
Hebu tupe na wewe definition yako maana dunia nzima inajua hijab huvaliwa kichwani. Hebu tupe yako hiyo ya miguuni 😆😆😆
 

Attachments

  • Screenshot_20240821-220130_1.jpg
    Screenshot_20240821-220130_1.jpg
    430.6 KB · Views: 3
😂😂😂 bora niuze vijora vyangu kwa jinsia zote
 
Magome ya miti yanatutosha, hayo mengine tuwaachie wenye tamaduni zao
 
Hakika ndo maana tumekuwa wajinga kwa afrika yote check mawazo yako ndondocha unategemea nn
 
Bila shaka mwandishi WA Uzi huu ni muislamu hii nchi sio ya kiarabu kanzu na hijab ni TAMADUNI za Waarabu,kweli tunakazi kubwa watu wengi hawajielewi wao ni kina nani wametoka wapi,walipo na wanaelekea wapi
 
Kama wananchi wenyewe ndo hawa, ni bora nchi iuzwe tu, tugawane pesa, tupewe share zetu, kila mtu atajua pa kwenda
 
Hizi dini ukizichanganya na siasa ndo unapata jamii ya watu wapumbavu kama Watanzania wa kujiita Waja.
 
Hapo shule amna kichwani kumejaa maandishi ya Kiarabu usitegemee la maana.
 
Makafir Wameshawahi Muda Upande Wa Suti Na Tai Ni Ngumu Mavazi Ulivyoyasema
 
Kwamba a nigga like me univalishe dera jeupe??? Masikhara hayo shekhe...
 
Back
Top Bottom