Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

Tuwe moja ya nchi za kiarab sasa maana vazi la taifa ni presentation ya asili pia dah! Bongo ina long journey hasa tukiwaendekeza nyie Taala Brakatu
 
Watapeleka hadi kwenye majeshi yetu.Hayo ni mavazi ya Mila za kiarabu.
 
Ongezea baragashia, koti juu ya kanzu na kobaz kabisa ndiyo itakuwa poa
Bila kusahau jambia.

1724266101568.png
 
Back
Top Bottom