Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hakuna mambo ya wivu hapa,hapa ni kuplani mambo kwa akili na kupiga pesa/Al Kaaba
• Msingi wake uliwekwa na nabii Adam,
• Msingi umenyanyuliwa na nabii Ibrahim na mtoto wake Ismail.
• Ni nyumba ya kwanza ya ibada kujengwa duniani
• Iko katikat ya Dunia
Utakufa kwa wivu
Kila jambo ni plani tuTRA sijui walikuwa wapi... huyu babu ilibidi akadiriwe ili nchi ivune chochote kitu. Nchi ilipokea watalii wengi sana huu mwaka.
Tatizo lenu mna chuki na watu ambao hawawajui.Hakuna mambo ya wivu hapa,hapa ni kuplani mambo kwa akili na kupiga pesa/
Mkuu sina wivu wala chuki yoyote,ispokuwa binafsi naiona kama fursa ikichangamkiwa vuzuri,ikatungiwa stori safi ikahusishwa na imani,tayari,si lazima upige pesa kwa njia za manabii ni kubuni tu njia mbadala.Tatizo lenu mna chuki na watu ambao hawawajui.
Unamchukia mtu hata ukimwambia unatokea Tanzania,anakuuliza iko sehemu gani?
Husiwachukie watu ambao tayar washabarikiwa.
Mtu mweusi hana future.... viongozi wao wanawaza kuiba na kwenda kutunza ulaya na Amerika.Kila nchi, mtu amepewa namna yake ya kupata fedha, tuna mlima kilimanjaro kama tutautumia vizuri tutapata pesa
Njia mbadara ni kuuza madawa kama north KoreaMkuu sina wivu wala chuki yoyote,ispokuwa binafsi naiona kama fursa ikichangamkiwa vuzuri,ikatungiwa stori safi ikahusishwa na imani,tayari,si lazima upige pesa kwa njia za manabii ni kubuni tu njia mbadala.
#Kwani hujaona wale wanaokwenda kuhiji ziwa duluti?