Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Sio kweli, hata kabla dini za nje hazijaja hatukwa tunakulana kama Simba na Swala. China, India, Korea, Vietnam na nchi nyingine nyingi za Asia hawalani kama Simba na Swala.
Mauaji ya albino,vikongwe na walemavu ni kutokanana kukosa hofu ya huyu Mungu,na natukio hayo yapo sana mikoa ambayo wanaabudu dini za jadi hasa kanda ya ziwa
 
Mauaji ya albino,vikongwe na walemavu ni kutokanana kukosa hofu ya huyu Mungu,na natukio hayo yapo sana mikoa ambayo wanaabudu dini za jadi hasa kanda ya ziwa
Hata Ulaya ikiwa chini ya tawala za kidini kuna wakati walikuwa wanauwa wanawake vikongwe wenye macho mekundu na wanaofuga paka
 
Mauaji ya albino,vikongwe na walemavu ni kutokanana kukosa hofu ya huyu Mungu,na natukio hayo yapo sana mikoa ambayo wanaabudu dini za jadi hasa kanda ya ziwa
Chini ya dini hizi kubwa mbili babu zako walitumikishwa chini ya utumwa mbaya sana na wengine hadi kuhasiwa, Apartheid na holocaust vimefanyika pia, mambo hayo yote ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sawa na wauaji albino.
 
Chini ya dini hizi kubwa mbili babu zako walitumikishwa chini ya utumwa mbaya sana na wengine hadi kuhasiwa, Apartheid na holocaust vimefanyika pia mambo hayo yote ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sawa na wauaji albino.
Lengo lao kutuletea hizi dini ilikuwa kutisoftisha roho zetu na ilikuwa kwa maslahi yao ili tutawalike,haina maana kwamba wao ni watakatifu sana,ilikuwa ni machinery kama zilivyo jeshi na mahakama
 
Hamuamrishani, mnaambiana. Kuamrishana ni kwenye tawala za sharia.
Labda ulikuwa huelewi kuwa hata hiloi neno sheria limetokana na Uislam

Qur'an ni sharia. Isome kijana. Ni kitabu cha [pekee duniani kinachoongolea tatizo na kulitatua kwake. Kiulaini kabisa.

Kama ulikuwa huelewi, neno sharia, sasa umeelewa limeytokea wapi, kwa kukuongezea tu, hata neno kanuni ambalo hata kanisa limelipenda likaanzisha "cannon laws" limetokana na Waislam.
 
Back
Top Bottom