Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Wewe tuachie Uislam wetu. Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na tumeridhia Uislam kuwa Dini na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume.

Wala usiminyane. Tunajivunia hilo. Na kufa katika Uislam ni Heshima na Neema kwetu.
Sawa nimeelewa mkuu endeleeni kuf kwa raha zenu
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,

Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,

hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Ni wivu tu
 
Ushajikatia tamaa. Hiko ndicho ulichobaki nacho katika vitimbi masikini.
Usinitupie majini tu maana hamchelewi Mimi nimeuliza kwa wema tu kwamba kweli km sio Nabii na Mtume mboni hatusikii nyinyi mkikemea kwamba hicho Cheo ni cha Mohamed asijivike Cheo kisicho chake
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,

Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,

hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Hayo tuwaachie wenye Imani yao, either right or not, only God knows.
 
Masikini ya mungu upo zako kantalamba unawafundisha wasomi na waliobarikiwa jinsi ya kumuabudu mungu wao, huku wewe unaenda kukanyaga mafuta kawe jumapili
HIvi hamjionei hata huruma kabla ya kuanzishaga hizi nyuzi zenu?
 
Attachments

  • Screenshot_20240623-111507_Chrome.jpg
    Screenshot_20240623-111507_Chrome.jpg
    318.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240623-111249_Chrome.jpg
    Screenshot_20240623-111249_Chrome.jpg
    101.8 KB · Views: 5
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,

Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,

hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Daaah sijui hili kama ni kweli
 
Masikini ya mungu upo zako kantalamba unawafundisha wasomi na waliobarikiwa jinsi ya kumuabudu mungu wao, huku wewe unaenda kukanyaga mafuta kawe jumapili
HIvi hamjionei hata huruma kabla ya kuanzishaga hizi nyuzi zenu?
Hijja yangu nafanyia kizuramimba chini ya mbuyu
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,

Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,

hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.

Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.

Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,

Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
Umeandika ujinga hadi nimesikitika sana
 
Mbora wa viumbe mtume Muhammad. Unakwenda kumpa salam kwenye kaburi lake lililopo msikiti, kwenda kuangalia historia ya uislamu na waislam. Kuna mambo mengi sana kwenye hajii kwa WENYE IMANI binafsi nitakuja kwenda.
Kumsalimia mtume!?? Hivi inatofauti gani na kuomba mizimu ya mababu zetu!? [emoji848]
 
Back
Top Bottom