Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,

Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,

hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Hija ni uchumi wa dunia nzima sio kwa Saudia tu,ni kwa serekali zote duniani, na ni kwa dini zote na asiye na dini, mweusi na mweupe,kabila zote duniani,wote wanafaidika .Kuanzia pale anayekwenda hija,anapoanza safari yake kwake nyumbani:
1.Anapotoka nyumbani kwake,kwenda stend ya bus,atakodisha usafiri,iwe tax,bajaj,boda,gari binafsi,vyote hivyo atalipia,anaongeza mzunguko wa pesa na serekali kupata kodi,kupitia mafuta ya petrol au dispel.Wakiwa wapo Milion 2 au tatu,piga hesabu hapo,ni pesa ngapi duniani imezunguka kwa kipindi hicho.
2.Anayekwenda Hija,atakata tiketi ya bus,mwenye bus na serekali watapata mapato hapo,fikiria hapo wakiwa watu mamilioni,ni mzunguko wa pesa wq kuasi gani.
3.Msafiri huyu wa Hija,akifika mji mkuu wenye usafiri wa ndege,atakodisha usafiri,kwenda hotel,kuchukuwa chumba,atakula,iwe kwa mama lishe au baba lishe au restaurant,huko nako atawezeshq mzunguko wa pesa.
4;Mawakala wa mashirija ya ndege,watapata pesa,kwa yeye kukata tiketi na kuongeza ajira pia.
5.Mashirika ya ndege,yanapata wasafiri wengi,inaongeza kipato na ajira.
6.Kodi zinazolipiwq kwenye uwanja wa ndege,serekali inapata kipato na kuongeza ajira.
7.Anayekwenda hija kuna nguo maalumu,anazonunua madukani,zinatoka viwandani,anaongeza kodi,ajira na kipato kwa viwanda.
8.Wafugaji wa wqnyama,ng'ombe,mbuzi,kondoo,ngamia,dunia nzima wanafaidika kwa kuuza,huko Saudia na nchi waliopo,kwa maana ni siku ya Eid ya kuchinja.
KENYA ni mojawqpo ya nchi inayofaidika na kuuza wantama Saudia,wafugqji wao,wanafaidika sana.
9.Wakulima dunia nzima wanafaidika kwa kuuza mazao yao.
10.Wafugaji kuku wanafaidika dunia nzima.
11.Wenye viwanda dunia nzima wanafaidika kwa kupeleka bidhaa zao,Saudia,kuuza.Nk.
12.Huu ni uchumi wa dunia nzima,kuanzia mtu mmoja mmoja mpaka serekali,hapa nikuchanfamkia fursa,usikose kuwa hata mfugaji wa mbuzi kwa wqchinjaji wa ibada ya Eid au kuku kwa walaji wa siku ya Eid.Zisikupite fursa hizi.
Na mbali ya Hija,kuna ibada ya UMRA ,hii ibada haina mda maalumu,ni.mda wowote wa maisha ya muislsmu.Kwa hiyo ufahamu pia maskini,wanafaidika kwa njia moja au nyingine,kwa maana pis wanapewa nyama,na wao wao wakaenjoy,yote hayo hayachagui dini wala kabila wala rangi ya mtu.
 
Kuwakusanya watu aina zote, rangi zote kutoka mazingira tofauti tofauti katika sehemu moja wakionana ndugu, hawabaguani, wamevaa vazi moja la kawaida licha ya kuwa wengi wana uwezo (matajiri), kuna wakati wanalala chini, hili unalikuta ktk Uislam tu, Dini kwa ajili ya Wanadamu wote.

Halafu kusema waarabu wanafaidika na Hijja hii hoja huwa siielewi. Wa Saudi wanatumia gharama nyingi kuihudumia Miji mitukufu na mahujaji. Na wale hawana njaa na Allah amewabariki mafuta na mambo mengi na azidi kuwabariki.

Na Hijja ni kwa mwenye uwezo wa kwenda Kuhiji kule. Sio kila mtu anaweza kwenda kuhiji. Hivyo wasio na uwezo wa kwenda kule hawana lawama. Hivyo hiyo ni huruma ya Allah kwa waja wake. Ambayo wewe unasema ni ubaguzi. Ametakasika Allah! Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam.

Ulivyo huna akili wewe kafiri unaweza kusema wanaoruhusiwa kutofunga mchana wa Ramadhan au wanaokatazwa kufunga mchana wa Ramadhan kwa sababu fulani au wanapokuwa katika hali fulani au wanawake wanaoambiwa wasiswali katika hali fulani au tahfifu anayopewa msafiri au mgonjwa katika Swala ni ubaguzi? Au mafukara na masikini wasioweza kutoa Zaka wanabaguliwa? Dini yetu inaendana na maumbile halisi na Mola wetu ni mwenye kuwahurumia waja wake na ni Mwenye Hikma.

Lakini kuna watu ambao hawana uwezo wa kwenda kule wao wenyewe lakini wanasaidiwa na watu wenye uwezo kwenda kule. Mfano Ufalme wa Saudi huwa unawasaidia au kujitolea kuwasaidia baadhi ya watu kwenda kuhiji. Kama mwaka huu kuna watu wamealikwa kwenda kule kuhiji kule kwa ufadhili wa mfalme wakiwemo wapalestina 2000 ambao ndugu zao wameuawa katika genocide huko Gaza.

Halafu wewe kafiri na husda uliyonayo wewe ni nani kuusemea Uislam na Waislam katika Dini yao? Yaani huwa mnajikutaje?

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Sema: Enyi makafiri! 1

2. Siabudu mnacho kiabudu; 2

3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3

4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 4

5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6

Na Waislam wanaokufa kule mwisho wao umefikia hapo na ni mwisho mwema. Allah awarehemu wote na akubali Hijja zao. Nasi tunaomba mwisho mwema kama wao. Allah atufishe katika Uislam. Allah atufishe katika Tawheed na Sunnah. Aameen.

Allah awaongoze nyinyi.
 
Wakiendelea kushupaza shingo na kuendelea na ibada hiyo ya kipagani Mungu atawashushia moto wa jehanamu waanze kuungua mapema wakiwa duniani. Kila mwaka lazima watu wapoteze maisha lakini hawakomi kwenda huko
 
Kwa hiyo tunakubaluana Hijjah imekaa kisunna zaidi kuliko nguzo
 
Hija ni uchumi wa dunia nzima sio kwa Saudia tu,ni kwa serekali zote duniani, na ni kwa dini zote na asiye na dini, mweusi na mweupe,kabila zote duniani,wote wanafaidika .Kuanzia pale anayekwenda hija,anapoanza safari yake kwake nyumbani:
1.Anapotoka nyumbani kwake,kwenda stend ya bus,atakodisha usafiri,iwe tax,bajaj,boda,gari binafsi,vyote hivyo atalipia,anaongeza mzunguko wa pesa na serekali kupata kodi,kupitia mafuta ya petrol au dispel.Wakiwa wapo Milion 2 au tatu,piga hesabu hapo,ni pesa ngapi duniani imezunguka kwa kipindi hicho.
2.Anayekwenda Hija,atakata tiketi ya bus,mwenye bus na serekali watapata mapato hapo,fikiria hapo wakiwa watu mamilioni,ni mzunguko wa pesa wq kuasi gani.
3.Msafiri huyu wa Hija,akifika mji mkuu wenye usafiri wa ndege,atakodisha usafiri,kwenda hotel,kuchukuwa chumba,atakula,iwe kwa mama lishe au baba lishe au restaurant,huko nako atawezeshq mzunguko wa pesa.
4;Mawakala wa mashirija ya ndege,watapata pesa,kwa yeye kukata tiketi na kuongeza ajira pia.
5.Mashirika ya ndege,yanapata wasafiri wengi,inaongeza kipato na ajira.
6.Kodi zinazolipiwq kwenye uwanja wa ndege,serekali inapata kipato na kuongeza ajira.
7.Anayekwenda hija kuna nguo maalumu,anazonunua madukani,zinatoka viwandani,anaongeza kodi,ajira na kipato kwa viwanda.
8.Wafugaji wa wqnyama,ng'ombe,mbuzi,kondoo,ngamia,dunia nzima wanafaidika kwa kuuza,huko Saudia na nchi waliopo,kwa maana ni siku ya Eid ya kuchinja.
KENYA ni mojawqpo ya nchi inayofaidika na kuuza wantama Saudia,wafugqji wao,wanafaidika sana.
9.Wakulima dunia nzima wanafaidika kwa kuuza mazao yao.
10.Wafugaji kuku wanafaidika dunia nzima.
11.Wenye viwanda dunia nzima wanafaidika kwa kupeleka bidhaa zao,Saudia,kuuza.Nk.
12.Huu ni uchumi wa dunia nzima,kuanzia mtu mmoja mmoja mpaka serekali,hapa nikuchanfamkia fursa,usikose kuwa hata mfugaji wa mbuzi kwa wqchinjaji wa ibada ya Eid au kuku kwa walaji wa siku ya Eid.Zisikupite fursa hizi.
Na mbali ya Hija,kuna ibada ya UMRA ,hii ibada haina mda maalumu,ni.mda wowote wa maisha ya muislsmu.Kwa hiyo ufahamu pia maskini,wanafaidika kwa njia moja au nyingine,kwa maana pis wanapewa nyama,na wao wao wakaenjoy,yote hayo hayachagui dini wala kabila wala rangi ya mtu.
So imekaa kiuchumi zaidi kuliko kiroho
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,

Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,

hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Dini zote ni biashara za watu,unatoa pesa unapewa matumaini where have you ever seen this.
 
Kwa hyo unataka watu wasitekeleza ibada kisa wanakufa?
Hapo nisawa na kuzuia kuendesha magari kisa kuna ajali. Mzee hija itabaki siku zote mpaka kiama kinasimama.suala la kufutwa hija msahau
Anhaa kumbe kifo ni sehemu ya ibada huko Hija, nimeshaelewa mkuu
 
Kwa hiyo tunakubaluana Hijjah imekaa kisunna zaidi kuliko nguzo

Ungetuachia tu Dini yetu. Wenyewe tunaipenda, tunaifuata na tunaomba tufie katika Neema hii kubwa mno.

Dini yetu imeshakamilika na tumeshatoshelezwa. Hatuhitaji mtu anonymous wa Jf mwenye chuki na husda na Uislam anayejiita mdukuzi atusemee au atufundishe chochote. Kasome tena Qur'an sura ya 109 nimeweka Tarjama ya maana yake ktk comment uliyoninukuu.

Mimi nimeshamaliza.
 
Anhaa kumbe kifo ni sehemu ya ibada huko Hija, nimeshaelewa mkuu
Wewe tuachie Uislam wetu. Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na tumeridhia Uislam kuwa Dini na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume.

Wala usiminyane. Tunajivunia hilo. Na kufa katika Uislam ni Heshima na Neema kwetu.
 
Back
Top Bottom