Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Sijaweka chuki mkuu maana wanatimiza jambo la kiimani, ila wanakufa kila mwaka mkuu, au la kufa sio muhimu?Mtume sio binadamu wa kawaida. Ana cheo cha kipekee. Ndo maana mafundisho yake yanabaki milele. Na ukienda kumtolea salam aatakuitikia.
Alafu kifo ni kawaida. maeneo ya jangwa yana joto sana. Imetokea ajali kama ajali nyingine za magari,au trying au tetemeko la ardhi n.k.
Kwa hyo usiweke chuki zako za juu ya uislamu kisa watu kufa hajj.
Maana hayo majanga yapo.
Mwamposa walikufa kama 20 waking'ang'ania mafuta yaliongelewa maneno mingi, saa huku kila mwaka wanakufa au na yenyewe ni sehemu ya ibada, ukishasema tu wanakufa kwa sababu ya joto na hali ya hewa inatosha