Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Nilikuwa sijui kuwa wanaenda kumsalimia ntu aliyekufa miaka mingi mpaka na wao wanakufa kwa kukosa hewa
Mtume sio binadamu wa kawaida. Ana cheo cha kipekee. Ndo maana mafundisho yake yanabaki milele. Na ukienda kumtolea salam aatakuitikia.
Alafu kifo ni kawaida. maeneo ya jangwa yana joto sana. Imetokea ajali kama ajali nyingine za magari,au trying au tetemeko la ardhi n.k.
Kwa hyo usiweke chuki zako za juu ya uislamu kisa watu kufa hajj.
Maana hayo majanga yapo.
 
Back
Top Bottom