Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Ni Mtoto wa Kike ( Binti ) tu ambaye anaishi katika Chumba Kimoja na Wazazi wake ila Kimetenganishwa tu amemshtaki Mama yake Mzazi kwa Mjumbe kwa Kumcharaza ( Kumchapa ) Viboko kila mara kwa Kosa la Kukojoa Kitandani kila mara huku akisema mbona na Yeye huwa anamsikia Mama yake huyo akimwambia Baba yake akojolee humo humo ndani na wala Hamchapi Baba yake?
Je, ungekuwa ni Wewe Ndugu Kesi hii kati ya Mama Mzazi na Mwanae ( Binti ) huyu iko namna hii kama ilivyoelezwa hapo juu ungeiamuaje labda?
Je, ungekuwa ni Wewe Ndugu Kesi hii kati ya Mama Mzazi na Mwanae ( Binti ) huyu iko namna hii kama ilivyoelezwa hapo juu ungeiamuaje labda?