Hiki alichohoji mtoto huyu yupo sahihi au kakosa Adabu?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Ni Mtoto wa Kike ( Binti ) tu ambaye anaishi katika Chumba Kimoja na Wazazi wake ila Kimetenganishwa tu amemshtaki Mama yake Mzazi kwa Mjumbe kwa Kumcharaza ( Kumchapa ) Viboko kila mara kwa Kosa la Kukojoa Kitandani kila mara huku akisema mbona na Yeye huwa anamsikia Mama yake huyo akimwambia Baba yake akojolee humo humo ndani na wala Hamchapi Baba yake?

Je, ungekuwa ni Wewe Ndugu Kesi hii kati ya Mama Mzazi na Mwanae ( Binti ) huyu iko namna hii kama ilivyoelezwa hapo juu ungeiamuaje labda?
 
Stori fikilishi sana hii. Kama siiamini hivi. Kwani mtoto ana miaka ngapi?
 
Kuchapa mara nyingi siyo malezi sahihi kwa mtu anayejitambua, anaelekezwa tu

Na je, hapo alipokuwa anamwambia Mama yake mbona Yeye huwa anamwambia Baba yake akojoe humo humo ndani unapazungumziaje labda?

Cc: mbongopopo
 
Amwambie ukweli tu kuwa asijilinganishe na baba ake anautaalam wa kukojoa bila kulowesha godoro sasa kama na wewe unao utaalam kama wa baba yako uwe unakojolea ndani humohumo lakini olewako godoro lilowee
 
Ni Mtoto wa Kike ( Binti ) tu ambaye anaishi katika Chumba Kimoja na Wazazi wake ila Kimetenganishwa tu amemshtaki Mama yake Mzazi kwa Mjumbe kwa Kumcharaza ( Kumchapa ) Viboko kila mara kwa Kosa la Kukojoa Kitandani kila mara huku akisema mbona na Yeye huwa anamsikia Mama yake huyo akimwambia Baba yake akojolee humo humo ndani na wala Hamchapi Baba yake?

Je, ungekuwa ni Wewe Ndugu Kesi hii kati ya Mama Mzazi na Mwanae ( Binti ) huyu iko namna hii kama ilivyoelezwa hapo juu ungeiamuaje labda?
Stori ya kusadikika!
 
Amwambie ukweli tu kuwa asijilinganishe na baba ake anautaalam wa kukojoa bila kulowesha godoro sasa kama na wewe unao utaalam kama wa baba yako uwe unakojolea ndani humohumo lakini olewako godoro lilowee
😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom