Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Dawa hii hapa ,Unafahamu majani flani hivi yanaotaga pembezoni mwa bahari kama ukoka hivi sema Yana majani mapana...Yachukue yaponde ponde,then binuka jikamulie maji yake matone kadhaa kwenye tuzi,kesho asubuhi ukiamka ni mzima