Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

Asante ndugu yangu, yaaani choo sio kama kigumu kwa sasa. Lakini ni kidonda tu. Maji kwa siku nakunywa lita 3. Yaaani natamani niwe naharisha tu yawe yanapita maji tu
Duh Pole sana aisee! Nenda ufanyiwe upasuaji.
 
Mkuu usifanye upasuaji kwanza, nakuhakikishia kuna mtu anaweza kutibu, ndugu yangu wa kiume alikua hata kusimamisha ni shida ila amepina, hiyo ni wazi Bawaziri

Mpigie huyu
0747933658, ila nadhani ni sheikh sheikh, mida ya swala huwa hapokei. Pole sana
Sishauri hili jambo
 
Anal fissures (vertical cuts kwenye anus)
Then umetaja na nyama imetoka nje hio ni hemorrhoids (bawasiri) stage 3 fanya matibabu utakua sawa
Mpendwa hiyo nyama sio ya Bawasiri, nilimuuliza dr ilo linyama ni nini ?? Alinijibu lakini nmesahau, sio vile vinyama vya bawasiri. Vile navijua
 
A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo... Nilirudi nyumbani kujichunguza vizuri nikakuta kweli nimechanika kidonda ni kikubwa kimetokeza kwa nje kimeingia hadi ndani, halafu kuzunguka kidonda pamevimba kiasi kwamba kuna kama linyama limening'inia chini likubwa, yaaani utaweza useme ni uvimbe umepasuka nashindwa hata kuelewa

Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.

Sasa kilichonifanya niwaombe msaada ndugu zangu hichi kidonda nateseka sana nikienda haja, yaaani napata maumivu makali mnoo pamoja na damu nadhani choo kinakwangua, naombeni mnisaidie mwenye kujua dawa ambayo nikibanwa haja nakunywa then niwe naharisha tu, yaaani maumivu yake acha kbs, nisaidieni jamani
pole mkuu
 
Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.

Kwa mrindo huu acha madokta waendelee kulipwa mishahara mikubwa, hii kazi ngumu kweli kweli!!
 
Wakubwa ahsanteni kwa woote mlionishauri, jana jioni nilirudi tena hospital nikajieleza kama hapa. Nikaandikiwa dawa ya kulainisha choo inaitwa Osmolax, nikaanza kutumia jana ileile kwakweli nashukuru Mungu jana jioni na leo asubuhi nimepuu vizuuri sana, tena jana ndio kabla sijachuchumaa mzigo ukashuka wenyewe Alhamdulilah.. Japokuwa jana nilikunywa hii dawa, nikanywa na mafuta ya mnyonyo kijiko kimoja

Ko saiv nashukuru Mungu hata chooni situmii mda mrefu, yaaani mwanzo nilikuwa nikijisaidia kuna muda unaona kama mabonge mabonge yanatoka afu magumu balaa yaaani likipita maumivu yake ni makali sana, lakini saiv choo kinatoka soft
.
Pia nimeandikiwa nipake anusol cream, pamoja na ile ya kuchomeka kwa ndani
 
Na pia wengine woote naendelea kufanyia kazi ushauri wenu. Kama hapa nimetoka kununua mapapai. Ntakua najitahidi kila siku nile papai
 
Ila sijawahi kupata ugonjwa nikateseka kama hivi jamani tangu nizaliwe, yaaani nimeteseka jamani Kama ni mtihani Mungu kanipa jamani namuomba aniondoshee, au kama kuna sehem nimemkufuru ndio akaamua kuniadhibu basi Allah aniswamehe, yaaani sina raha na maisha, [emoji24]
 
Pole sana .
 
Kibaiolojia baadhi ya magonjwa hasa ya mtindo wa maisha huja kutuongoza turudi kwenye mstari.

Ushauri ni kutafuta kupata maarifa zaidi kuhusu healthy eating. Healthy drinking na mengineyo.

Wala Mungu hatuadhibu, ni vile tu tunapokea ishara na mirejesho ya kipi tunaendelea kufanya maishani. Polee.
 
Habari, Mimi nilikua nasumbuliwa Na constipation, Na kupata Choo kigumu Hadi nikachanika, Sasa kikawa Ni kidonda, Sasa kila nikijisaidia Choo kigumu panazidi kuchanika, nikaenda hospital wakaniambia Ni bawasiri wakanipa suppositories za anusol za kuingiza sehemu ya haja kubwa, lakini wapi, nikatumia vidonge vinaitwa Sitcom Na cream yake kupaka sehemu ya haja kubwa lakini wapi, nikawa nafanya research nikaona Sio bawasiri Bali Ni Anal fissure Sasa sijui nifanyaje? Please nisaidieni maana nikisikia kujisaidia naanza kusali Kwanza.
 
Hio ni bawasili kama hutojari mzigo huo hapo utakusaidia
IMG20220413173328.jpg
IMG20220413173313.jpg
 
Back
Top Bottom