Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ili kuzuia hilo ndiyo sababu dakitari anashauri oparesheni.Loh. Fistura ni haja inakua unatoka bila break
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuzuia hilo ndiyo sababu dakitari anashauri oparesheni.Loh. Fistura ni haja inakua unatoka bila break
Inaitwa sitbathKukaa kwenye maji ya uvugu vugu, how?
Na tokea umetumia hizo dawa, na kufatisha ushauri wake, unaonaje maendeleo?
Shukran mkuu. Sikuwa naifahamI
Inaitwa sitbath
Kwa maelezo uliyotoa, hapo ni mambo mawili kwa wakati mmoja:A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo... Nilirudi nyumbani kujichunguza vizuri nikakuta kweli nimechanika kidonda ni kikubwa kimetokeza kwa nje kimeingia hadi ndani, halafu kuzunguka kidonda pamevimba kiasi kwamba kuna kama linyama limening'inia chini likubwa, yaaani utaweza useme ni uvimbe umepasuka nashindwa hata kuelewa
Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.
Sasa kilichonifanya niwaombe msaada ndugu zangu hichi kidonda nateseka sana nikienda haja, yaaani napata maumivu makali mnoo pamoja na damu nadhani choo kinakwangua, naombeni mnisaidie mwenye kujua dawa ambayo nikibanwa haja nakunywa then niwe naharisha tu, yaaani maumivu yake acha kbs, nisaidieni jamani
Chukua majani ya mzambarau twanga chemsha upate maji yake yaache yapoe uwe unanawa kila siku asubuhi na jioni mwezi mmojaA.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo... Nilirudi nyumbani kujichunguza vizuri nikakuta kweli nimechanika kidonda ni kikubwa kimetokeza kwa nje kimeingia hadi ndani, halafu kuzunguka kidonda pamevimba kiasi kwamba kuna kama linyama limening'inia chini likubwa, yaaani utaweza useme ni uvimbe umepasuka nashindwa hata kuelewa
Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.
Sasa kilichonifanya niwaombe msaada ndugu zangu hichi kidonda nateseka sana nikienda haja, yaaani napata maumivu makali mnoo pamoja na damu nadhani choo kinakwangua, naombeni mnisaidie mwenye kujua dawa ambayo nikibanwa haja nakunywa then niwe naharisha tu, yaaani maumivu yake acha kbs, nisaidieni jamani
Asante sana, nimepokea ushaur wako. Mungu akubariki sanaKwa maelezo uliyotoa, hapo ni mambo mawili kwa wakati mmoja:
1: Bawasiri/haemorrhoid
2: Anal fissure/mpasuko unaotokea pembeni mwa bawasiri kati kati ya bawasiri na bawasiri.
Tiba:
1: Kutibu tatizo lililopo
2: Kuzuia kisababishi
3: Kuzuia isitokee tena
1: Kutibu tatizo
A: Kupata dawa inayopunguza uvimbe/maumivu na muwasho.
Unaweza kutumia:
-Scheriprot cream/Preparation H cream, unapaka mara mbili kwa siku.
-Kupata dawa ya kulainisha choo kama lactullose, mls10 mara mbili kwa siku. (Unapunguza au kuongeza kiasi kulingana na kiasi cha ulaini wa choo unachopata).
B: Kuhakikisha eneo linapona na kutopata maambukizi:
-Sit bath: weka maji ya vuguvugu, changanya na chumvi au dettol ya maji. Weka kwenye beseni baada ya kuoga, kaa kweye maji hayo vuguvugu kwa dakika 5-10. Jikaushe vyema na upake dawa kama kwenye 1 hapo juu.
B: Kuzuia kisababishi/isitokee au kuendelea kujijeruhi.
-kunywa maji ya kutosha >lita2 kwa siku.
-kula mboga za majani na matunda kwa wingi.
-tumia vyakula ambavyo vina nyuzinyuzi kwa vingi kama vyakula vya mizizi, ugali wa unga usiokobolewa/dona nk.
-tumia dawa ya kulainiaha choo pale unapoona mambo yanakwenda ndivyo sivyo.
NB: Pata ushauri wa mhudumu wa afya pale ambapo pamoja na jitihada hizi mambo hayaendi sawa.
AsnateMaumivu hayo nliwah kuyapata
Aloo hadi mguu hunyanyui
Yaan utalia chooni
Kuna dawa zinasaidia kutengeneza bowel movement kwa urahisi
Zinaitwa biscolo..... kitu km sizikumbuki
Zitafanya u Lelax kidogo
Ila ndio itatakiwa kubadili mtindo wa maisha wa kula
PoleeAsante
Bisacodyl
Inasaidiaje ?? Sijaelewa