Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

Habari, Mimi nilikua nasumbuliwa Na constipation, Na kupata Choo kigumu Hadi nikachanika, Sasa kikawa Ni kidonda, Sasa kila nikijisaidia Choo kigumu panazidi kuchanika,...
Pole sana. Tatizo lako ndio kama langu, mimi niliambiwa hiyo ni bawasiri. Nikaenda kununua dawa ya asili ya kunywa na kupaka kwa dada mmoja yupo insta anajiita @aasm_products anauza dawa za bawasiri. Nimeanza kutumia sasa ni week ya pili maendeleo naona mazuri
 
Tumia dawa za miti shamba mm sindano ya mwisho nilichoma 2005 mpk leo cjawai umwaga kila miezi 3 nachemeha muharobain+ mizizi ya mjohoro + mizizi ya ndulele + majani ya ukwaju magonjwa nasikiaga tu kwa watu huko nashukuru pia na mungu
 
A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo.....
Pole sana, hiyo profile ni yako

Hiyo ni long term infection kwenye sphincter or anal, kuna ugonjwa fulani wa ngozi vipele vyake vikali sana, kama ulipata hivyo vipele vingaingia ndani kwa muda mrefu, unahitaji injection ya penadur kwenye tako/muscles na antibiotics kali, sbb infection itakuwa hadi kwenye blood.

Rudi hosp, fanya vipimo upya.
 
Hata mimi mwanzo nilijua ni Bawasiri, kila ninaemwambia ananambia bawasiri, nikatumia dawa za kienyeji. Sasa juzi nikaamua kwenda hosp nikaambiwa anal fiscure
Sikiliza mdogo wangu, Anual fiscure ni majimaji au utelezi unaotokana na michubuko ya kwenye mishipa baada ya kupitisha choo kugumu.

Hii Hali huwaga haidumu muda mrefu kabla ya kupona kabisa kutokana na ubadirikaji wa Hali ya choo. My personal recomandation; Mtafute daktari mwenye uzoefu wa ishu za BAWASILI(Kinyama cha mku.ndu) akutibu.

Hii ishu inaweza jumlisha OPERATION ya huko nyuma,Cha muhimu zaidi no kupona na kuondokana na hilo tatizo.
Pole sana kaka.....
 
Naomba mrejesho na mim napata shida na bawasili best umeponA??¿
 
Pole sana mkuu. Pole sana.

Ngoja waje wajuvi wa mambo kwenye hili eneo.

By the way, wewe ni ME au KE? I am just curious..
You are not serious, are you ? , what does gender has to do with what he/she said ? I thought an anus is an anus , whether you are a guy or a girl…
 
Mkuu hiyo ni BAWASIRI.

Zipo za aina 3.

Bawasiri ya nje, kinatoka kama kijipu uchungu.

Bawasiri ya ndani- inatoka nyama ambayo huwa inajitokeza nje na kurudi unapoenda haya.

Bawasiri ya ndani- ila kunakua na mpasuko fulani wa mishipa,hii huepelekea kutokwa na damu haawa ukienda haja na ikiwa chronic basi hata bila kwenda haja.

Pole sana Mkuuu, I can imagine mawazo na mvurugiko wa fikra ulionao. Utapona ila pata daktari mzuri mwenye uzoefu. Pia zipo dawa za asili, jitahidi mapema kujitibu.
Rabinsia ni hospital kubwa sidhani kama huyo Dr aliyemuona ameshindwa kutofautisha kati ya Hemorrhoids na Anal fissure, ushauri wa Dr aliyemuona uheshimiwe.
 
Ndo maana nilikimbia fani kwakweli nikabadili kabisa muelekeo...madaktari waheshimiwe haya mambo ni mazito..na wanakutana na mazito zaidi...nisingeweza aisee....
 
Ukiona inakufaa fanya hivi,
Chukua ndizi iliyoanguka barabarani usinunue au nenda sokoni okota ndizi na uikaange kwenye sufuria mpaka iwe nyeusi tii kama Mkaa. Halafu isage na uchanganye na dawa moja ya macho huwa iko kwenye tube sio zile za maji! Changanya mchanganyiko wako uwe unapaka mara3 kwa siku.
 
Ukiona inakufaa fanya hivi,
Chukua ndizi iliyoanguka barabarani usinunue au nenda sokoni okota ndizi na uikaange kwenye sufuria mpaka iwe nyeusi tii kama Mkaa. Halafu isage na uchanganye na dawa moja ya macho huwa iko kwenye tube sio zile za maji! Changanya mchanganyiko wako uwe unapaka mara3 kwa siku.
Hapa hamna dawa
 
NIcheki dawa ipo 0712505049 kwa wewe member mwenzangu nipe elf 20 badala ya elf 50 kupona ni uhakoka matokeo siki ya pil au ya kwanza unaanza kuyaona
 
Back
Top Bottom