Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kakaangu, Mungu akubarikiMkuu usifanye upasuaji kwanza, nakuhakikishia kuna mtu anaweza kutibu, ndugu yangu wa kiume alikua hata kusimamisha ni shida ila amepina, hiyo ni wazi Bawaziri
Mpigie huyu
0747933658, ila nadhani ni sheikh sheikh, mida ya swala huwa hapokei. Pole sana
Namaanisha hizo dawa ulizopewa na huyo doctor after kukutajia ilo jina la ugonjwa, una muda gani unazimeza? Acha na zile za awaliHata miezi mi2
Operesheni tu itakuponesha... hiyo bawasiri ina tabia ya kupotea kwa muda na kurudi tenaKadri siku zinavyokwenda kidonda kinapona na hiyo nyama inarudi ndani, na kidonda kwa nje kinapona kabisaaa, sahivi hata kunawa nanawa fresh maana nyuma hata kujisafisha nilikuwa siwezi kutokana na maumivu. So nina imani kinapona.. Ila napata tu tabu wakati wa kujisaidia maana kipo kwenye njia kbs
Izo dawa ilikuwa za week 1 tu na nishamaliza. Pia akanambia tu nikazane kukaa kwenye maji ya vuguvugu na dettol bsNamaanisha hizo dawa ulizopewa na huyo doctor after kukutajia ilo jina la ugonjwa, una muda gani unazimeza? Acha na zile za awali
Kukaa kwenye maji ya uvugu vugu, how?Izo dawa ilikuwa za week 1 tu na nishamaliza. Pia akanambia tu nikazane kukaa kwenye maji ya vuguvugu na dettol bs
𝐰𝐞𝐥𝐥 𝐬𝐚𝐢𝐝 𝐡𝐢𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐝𝐚𝐰𝐚 𝐭𝐨𝐬𝐡𝐚Duuh poleee, jitahidi kunywa mtindi na mapapai ili upate choo kilaini
Maendeleo mazuri. Kidonda kinapungua. Nachukua maji ya vuguvugu. Naweka dettol afu nakaa kwa dakka 20. Inasaidia kidonda kuwa katika hali ya usafi na kinawah kuponaKukaa kwenye maji ya uvugu vugu, how?
Na tokea umetumia hizo dawa, na kufatisha ushauri wake, unaonaje maendeleo?
Sawa, kwavile upo katika hatua nzuri, basi endelea kufatisha ushauri wakeMaendeleo mazuri. Kidonda kinapungua. Nachukua maji ya vuguvugu. Naweka dettol afu nakaa kwa dakka 20. Inasaidia kidonda kuwa katika hali ya usafi na kinawah kupona
Hyo ni Anal Fissure kama daktari alivyokueleza. Tumia dawa alizokuelekeza bila shaka ahueni huenda ikapatikana. Ila ikishindikana wazo la upasuaji litakuwa la kipaumbele. Wengi huwa wanarecover after Surgery.Hata mimi mwanzo nilijua ni Bawasiri, kila ninaemwambia ananambia bawasiri, nikatumia dawa za kienyeji. Sasa juzi nikaamua kwenda hosp nikaambiwa anal fiscure
Pole mkuu.. ila hii ni kama hemorrhoid kwa maelezo yako kutokana na io hali ya nyamanyama kutokea wakati wa haja..A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo... Nilirudi nyumbani kujichunguza vizuri nikakuta kweli nimechanika kidonda ni kikubwa kimetokeza kwa nje kimeingia hadi ndani, halafu kuzunguka kidonda pamevimba kiasi kwamba kuna kama linyama limening'inia chini likubwa, yaaani utaweza useme ni uvimbe umepasuka nashindwa hata kuelewa
Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.
Sasa kilichonifanya niwaombe msaada ndugu zangu hichi kidonda nateseka sana nikienda haja, yaaani napata maumivu makali mnoo pamoja na damu nadhani choo kinakwangua, naombeni mnisaidie mwenye kujua dawa ambayo nikibanwa haja nakunywa then niwe naharisha tu, yaaani maumivu yake acha kbs, nisaidieni jamani
ebu njoo unioneshe mkuu hwenda nikakusaidia kalanga1A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada