Hiki kifurushi cha Voda kimeenda wapi?

Na usiwe unaangalia...

Najiunga kwa week na mpaka week inafika bado nakua na GB za kutosha zinachukuliwa najiunga tena...
Sawa…

Cha week kwa 30k? Kama ni hivi zile Gb 10 unatoboa

Mimi namix cha kutoboa mwezi, ila ndio hata week 2 haziishi.
 
Sio windows inaji update?
 
Sawa…

Cha week kwa 30k? Kama ni hivi zile Gb 10 unatoboa

Mimi namix cha kutoboa mwezi, ila ndio hata week 2 haziishi.
Hapana, Jimixie sii unaweka pesa yoyote kuanzia elfu2000 alafu wao wanakupa GB kutokana na pesa yako...

Hua nafanyaga hivyo na haziishi... hiyo elfu30 natumia mwezi mzima na simalizi...

Na mara chache sana natumia simu, muda wote natumia computer...
 
Khaa... simu yako itakua ina tatizo...

Au utakua unaangalia sana matusi...

Vyangu mpaka muda wa mwisho wa matumizi unafika bado nakua na GB kibao zinachukuliwa najiunga upya...
Ina tatizo gani basi nidokezee

Matusi siangaliagi.. labda dancing za tiktok.. napo nimefuta app baada ya bundle la 20K kutofika two weeks

Hongera sana, itakuwa ofisini kwenu mna free WiFi eeh?
 
Kwasasa hakuna mtandao wenye nafuu, wote wale wale.
 
Najua inavyofanya kazi.. kuna jimixie siku, week mpaka mwezi.

Mimi jimixie mwezi kwa 20k wananipa gb 8 na dk kadhaa.
Kwa 20k mb tupu wananipa gb 11

Naonekania kuwa na matumizi ya hovyo ila sijui nakosea wapi!!
 
Ina tatizo gani basi nidokezee

Matusi siangaliagi.. labda dancing za tiktok.. napo nimefuta app baada ya bundle la 20K kutofika two weeks

Hongera sana, itakuwa ofisini kwenu mna free WiFi eeh?
Kwani wewe hilo bundle unatumia mpaka ofisini?

Mimi ofisini tuna fibre (Wifi) natumia wifi ya kazini...

Home nina modem ina line ya Voda... napo pia naweza sema wifi...

Simu natumia mara chache sana au nisitumie kabisa...
 
Bundle natumia mpaka ofisini ndiyo.

Una free WiFi kumbe ndio maana una ka unafuu, safi.
 
Bundle natumia mpaka ofisini ndiyo.

Una free WiFi kumbe ndio maana una ka unafuu, safi.
Basi siyo kosa lako... kama unatumia mpaka ofisini...

Yeah, Wifi every where...

Pole sana...
 
Hata kazi mtu huwezi fanya kwa amani.
 
Ndiyo maana Wote tunaojitambua ( Kiakili ) tuko zetu tu Airtel ambako kila Kitu kiko tambarare huku mazuri mengine yakija na yakibuniwa vile vile.

Airtel THE SMARTPHONE NETWORK.

Happy Easter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…