Hiki kigari ni aina gani?

Hiki kigari ni aina gani?

Ni model ya Mitsubishi, za kitambo ngoja nkutafutie model yake.. Kigambon ving mkuu
 
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...

kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?

Inaitwa Daihatsu midget, check hyo link ya youtube

 
hako kagari ni Daihatsu Midget,huwa kanapaki pale Sabasaba ground geti la ubavuni,adjacent na Mess ya Jwtz...ukikaona at first time lzm usimame kukashangaa....nilikapiga picha ila sizioni
 
Ukija huku Kigamboni maeneo ya Kibada kuna jamaa anavyo viwili. Kimoja cheupe kingine metallic green
 
Unaweza peleka home dogo akadhani umempelekea kagari ka kuendesha kiukweli ukweli.
 
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...

kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?[QUOTE="/

Kwa uhakika ulioiona ni suzuki carry but body lake ndio linafanana na hio hapo juu,

Pia zipo pale lumumba just opposite na Falcon Restaurant or adjacent na office ya CCM , na jamaa huvileta na kuviuza niliwahi kuviona zaidi ya vitatu pale na kuuliza bei , sikumbuki nadhani ndio GSM or ALOSCO kama sijakosea
 
Hiyo nyingne
 

Attachments

  • 1463288190434.jpg
    1463288190434.jpg
    81.3 KB · Views: 69
Nami nikifika mjini nikitafute nikione.....!
 
Back
Top Bottom