new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Ni model ya Mitsubishi, za kitambo ngoja nkutafutie model yake.. Kigambon ving mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...
kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?
jamaa katoka nacho south africa to tz
Inaitwa Daihatsu midget, check hyo link ya youtube
Mmh tutapata lift kweli hapo?yes ndo chenyewe
nimeshanga vipo vya cc 900 wakati suzuki carry ni cc 650 ...
peke yako unapata
ukija na mashosti watakaa nyuma ha haa
kagari ka kichoyo..mno
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...
kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?[QUOTE="/