Hiki kikohozi kisichoeleweka kimeikumba familia yangu tu, Au ni UPEPO?

Tuma Benylin 4Flu ,pamoja na Amoxyline kikohozi sijui mafua kwisha kabisa.Usisahau pia kupiga Tangawizi na Limau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yale ma Covidol sijui NImricuf sijui nini bado yapo huko Bongo? kuna jamaa waliaminishwa yanatibu mauviko 19
 
Chukua limao, lioshe vizuri bila kumenya, katakata kisha chukua tangawizi ioshe ukatekate vipande vidogovidogo. Chemsha maji kisha saga kwa Brenda huku ukitumia hayo maji ya moto. Chuja kisha kunywa glasi moja asubuhi na moja jioni. Kumbuka usiiweke kwenye friji kwasababu sio rahisi kuharibika ata wiki. Kisha njoo na mrejesho hapa. Kumbuka usitoe mbegu za limao wala maganda yake, vyote saga. Ni chungu sana ila ndio dawa kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…