Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

Bado hamjasema mbona.
 
Kumbe pumbav flani tu
 
Ndugu Kipara Kipya,hiyo ni tetesi tuu au mtanziko wa kuyoyoma ubingwa wa ligi na Crdb confederation kwa🦁
 
Kimataifa mwakani sisi mabingwa,wasouth walitufanyia fitna wakati huu🤔
Fitna aziz ki kumpa kipa mpira wa penati na bacca kuwapigia mpira wa penati mashabiki jukwaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…