Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaangalia mpira huku ukiwa na mahaba na usimba badala ya kuujua mpiraYule guede goli la kwanza kasaidiwa na kichwa cha yule mchezaji wa singida kusukumiza ndani...yani hii ligi ni utopolo mtupu...
Historia ya mechi za mchongo ilishia pale kilichopo hapa napo mtachukua ubingwa wenu wa mbeleko maisha yaendelee!Uliona Yanga imetuma CAF kuwa kipa katoka kwenye mstari kabla ya kupiga penati? Maana ni kama huelewi walichokuwa wanakilalamikia Yanga ni kipi
Eeeh hiyo hiyo inacheza nusu fainal caf sijui na timu gani vile!Mkuu unazungumzia Yanga hiihii iloanza safari ya kumtoa El Merreikh na kuingia hatua ya makundi klabu bingwa?
Yanga ilomfunga Simba goli 5? Yanga ilotoshana nguvu na Al Ahly na Mamelod ikiwa ktk peak yake uwanja wa Benjamin Mkapa mpaka kule South Afrika?
Si ni Yanga hiihii ilomfunga muarabu goli 4 kwa Mkapa? Leo unataka useme Yanga haina ubora wa kuwafunga Singida Fountain Gate?
Tazama tena mechi ya leo, umeyaangalia vizuri yale magoli? Mechi umeiona ilivyokuwa ya kutafutana? Yale magoli unayaona ni ya kununua mkuu?
Niseme tu, kila zama ina kitabu chake. Kitabu cha Simba kimefungwa misimu mitatu hii. Simba tusipobadilika tutawapa fursa Yanga wachukue Kombe miaka mitano badala ya minne tuliyolibeba sisi. Chop chop! Tuamke!Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Mbona mnajisahaulisha kuwa mlishakula 5, mlidhaminiwa na nani siku hiyo???Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Iliishia kwa Yanga kudhurumiwa goli na pia Mamelodi kushindwa kupata goli hata la offside. Vipi upande wa timu yako Simba matokeo yake yalikuwaje huko?Historia ya mechi za mchongo ilishia pale kilichopo hapa napo mtachukua ubingwa wenu wa mbeleko maisha yaendelee!
Mamelodi wapo nusu fainal!Iliishia kwa Yanga kudhurumiwa goli na pia Mamelodi kushindwa kupata goli hata la offside. Vipi upande wa timu yako Simba matokeo yake yalikuwaje huko?
Tukutane tarehe 20 bosi awanunue na nyie , maneno mengi ya nini.
Kumbe upo! Mungu ni mwena [emoji120]Yule guede goli la kwanza kasaidiwa na kichwa cha yule mchezaji wa singida kusukumiza ndani...yani hii ligi ni utopolo mtupu...
Sasa nyie juzi na mashujaa dk 57 wanacheza pungufu mnashindwa kufunga,mkapigwa kwenye matuta,ile mechi mliyo cheza Moro dk ya 60+ wako pungufu mkapigwa.Sasa hapa tusemeje na zote mkapigwa. South kwani walitufanya nini Mamelod....... eti au na nyie kiboko yenu Mashujaa.Mwisho wa siku mtajikuta timu zote mdhamini ni GSM mtashinda vizuri ila kiboko yenu south na wale marefa wenye akili wa caf!
Mindset Kama zako ndio zinafanya Yanga azidi kuchukua ubingwa na wenda akacheza nusu fainali mapema zaidi kuliko si simba. Si mashabik wa Simba sijui tuna matatizo gan kichuani kutwa tupo kubeza ubora wa Yanga kwa maneno ya kupotoshwa at wananunua Mechi!!!! How??? Yaani timu inacheza mpira imetulia kabisaa na wachezaji wake wanajituma huk tunaona afu anatokea mtu mmoja kutuaminisha ujinga na sisi tunajaa. Yanga ya sasa inamfunga yoyote hapa Afrika how tukazane kusema sijui Singida au nani wameuza mechi kwa kigezo kipi??? Kwamba yanga hawana uwezo wa kuifunga Singida Fountain Gate??Mamelodi wapo nusu fainal!
Hawa jamaa wamevurugwa tuwapuuze.Mkuu unazungumzia Yanga hiihii iloanza safari ya kumtoa El Merreikh na kuingia hatua ya makundi klabu bingwa?
Yanga ilomfunga Simba goli 5? Yanga ilotoshana nguvu na Al Ahly na Mamelod ikiwa ktk peak yake uwanja wa Benjamin Mkapa mpaka kule South Afrika?
Si ni Yanga hiihii ilomfunga muarabu goli 4 kwa Mkapa? Leo unataka useme Yanga haina ubora wa kuwafunga Singida Fountain Gate?
Tazama tena mechi ya leo, umeyaangalia vizuri yale magoli? Mechi umeiona ilivyokuwa ya kutafutana? Yale magoli unayaona ni ya kununua mkuu?
Hayo ni mawazo yako ila kilichopo si kizuri kwa mpira wa bongo hatukuanza kuangalia mpira jana sasa kama wewe ni simba mimi sio simba tengeneza hiyo timu yako mimi hata ikifungwa mia hainihusu kinachonihusu ni kuchezwa ligi yenye fair sio mtu ananunua timu za kuraisishia timu nyingine kupata ushindi bila kuhenyeka ndio maana wabongo hamfanikiwi kwa lolote kwa kupenda njia za mkato!Mindset Kama zako ndio zinafanya Yanga azidi kuchukua ubingwa na wenda akacheza nusu fainali mapema zaidi kuliko si simba. Si mashabik wa Simba sijui tuna matatizo gan kichuani kutwa tupo kubeza ubora wa Yanga kwa maneno ya kupotoshwa at wananunua Mechi!!!! How??? Yaani timu inacheza mpira imetulia kabisaa na wachezaji wake wanajituma huk tunaona afu anatokea mtu mmoja kutuaminisha ujinga na sisi tunajaa. Yanga ya sasa inamfunga yoyote hapa Afrika how tukazane kusema sijui Singida au nani wameuza mechi kwa kigezo kipi??? Kwamba yanga hawana uwezo wa kuifunga Singida Fountain Gate??
Ni upumbavu tuu umetujaa, Tunaacha kuandaa tim yetu tupo bize na Propaganda za kipuuzi Mara Mayele, Mara Azam wamefuta hik, Mara Ubuntu Botho upuuzi tuu. Tim yetu imeondosha wachezaji Muhim Baleke na Moses Phir na imeshindwa kuwafanyia replacement kwa haraka lakin hatulion hilo kazi kubeza Mafanikio ya Yanga kwa kutaka kujifariji. Mechi yetu dhidi ya Ihefu tulikuwa na uhakika wa kushinda kabisaa tena si chin ya Gol tatu ila wachezaj wametuangusha, yote hayo hatuon tuko busy at Yanga ananunua mechi. Anyway ngoja na sisi April 20 tumuuzie
Hayo ni mawazo yako ila kilichopo si kizuri kwa mpira wa bongo hatukuanza kuangalia mpira jana sasa kama wewe ni simba mimi sio simba tengeneza hiyo timu yako mimi hata ikifungwa mia hainihusu kinachonihusu ni kuchezwa ligi yenye fair sio mtu ananunua timu za kuraisishia timu nyingine kupata ushindi bila kuhenyeka ndio maana wabongo hamfanikiwi kwa lolote kwa kupenda njia za mkatoMindset Kama zako ndio zinafanya Yanga azidi kuchukua ubingwa na wenda akacheza nusu fainali mapema zaidi kuliko si simba. Si mashabik wa Simba sijui tuna matatizo gan kichuani kutwa tupo kubeza ubora wa Yanga kwa maneno ya kupotoshwa at wananunua Mechi!!!! How??? Yaani timu inacheza mpira imetulia kabisaa na wachezaji wake wanajituma huk tunaona afu anatokea mtu mmoja kutuaminisha ujinga na sisi tunajaa. Yanga ya sasa inamfunga yoyote hapa Afrika how tukazane kusema sijui Singida au nani wameuza mechi kwa kigezo kipi??? Kwamba yanga hawana uwezo wa kuifunga Singida Fountain Gate??
Ni upumbavu tuu umetujaa, Tunaacha kuandaa tim yetu tupo bize na Propaganda za kipuuzi Mara Mayele, Mara Azam wamefuta hik, Mara Ubuntu Botho upuuzi tuu. Tim yetu imeondosha wachezaji Muhim Baleke na Moses Phir na imeshindwa kuwafanyia replacement kwa haraka lakin hatulion hilo kazi kubeza Mafanikio ya Yanga kwa kutaka kujifariji. Mechi yetu dhidi ya Ihefu tulikuwa na uhakika wa kushinda kabisaa tena si chin ya Gol tatu ila wachezaj wametuangusha, yote hayo hatuon tuko busy at Yanga ananunua mechi. Anyway ngoja na sisi April 20 tumuuzie
Mimi sihitaji kuchambua mpira nisicho taka mimi ni mtu mmoja kununua timu za ligi kuu kurahisishia timu yake ubingwa bila kuhenyeka simba hainihusu!Sasa nyie juzi na mashujaa dk 57 wanacheza pungufu mnashindwa kufunga,mkapigwa kwenye matuta,ile mechi mliyo cheza Moro dk ya 60+ wako pungufu mkapigwa.Sasa hapa tusemeje na zote mkapigwa. South kwani walitufanya nini Mamelod....... eti au na nyie kiboko yenu Mashujaa.
Kwa aina ya mashabiki hii kama nyie Mangungu na Try Again wataendelea kuwambia mafanikio yenu ni kufungua account ya WhatsApp na Kibegi. Yaani hata kuuchambua mpira hujui.