Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

Weka ushahidi hapa, Simba tunajuwa mmiliki wake ni Mo Dewji, Lete ushahidi wa Mwigulu kuwa ndio mmiliki.
Ushahidi upo baraza la michezo ofisi ya msajili wa vilabu nenda kajiridhishe mnapenda mambo ya ujanja tu!
 
Weka document hapa, Acha blablabla.

Sasa mgoli kama ule wa Aziz Ki kipa anadakaje?

Muulize Aishi Manula.
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-180719.png
    Screenshot_20240414-180719.png
    88.5 KB · Views: 2
Weka document hapa, Acha blablabla.

Sasa mgoli kama ule wa Aziz Ki kipa anadakaje?

Muulize Aishi Manula.
Caf wapo tayari kuwapa nafasi ya kucheza nusu fainali ila tu kama aziz ki atafunga penati dhidi ya mamelodi!
 
Azam kampa Namungo 2 bila nyie endeleni kuhangaika na Yanga,mkishtuka,ligi imeisha mnaenda shirikisho.

Unamuuza Phiri na Beleke,unanunua Mastriker kudrible hawajui,control chumba na sebule,kumalizia nafasi hawawezi unategemea nini. Moja ya makosa yaliyo wagharimu msimu huu ni hili.

Nawakumbusha mlichukua ligi mara nne sababu ya viporo, misimu hii mitatu viporo TFF wamevicontrol.Maana nyie wakati kama manakuwaga na viporo zaidi ya vinne.
 
Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.

wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.

Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.

Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Na wewe umeshindwaje kuchukua Point zao Sita ?

Pia Siyo 6 tu , Ni tisa kila Mzunguko zikiwemo za Simba SC pia
 
Nazungumzia mjumbe wa baraza la wadhamini la klabu ya yanga ndie mmiliki wa klabu mbili za singida je kuna fair hapo hapo mdhamini wa hizo klabu ndie mdhamini mkuu wa yanga!
Namimi nazungumzia ubora wa Yanga. Kwani Simba inadhaminiwa na GSM? Mbona walifungwa tano?
 
Azam kampa Namungo 2 bila nyie endeleni kuhangaika na Yanga,mkishtuka,ligi imeisha mnaenda shirikisho.

Unamuuza Phiri na Beleke,unanunua Mastriker kudrible hawajui,control chumba na sebule,kumalizia nafasi hawawezi unategemea nini. Moja ya makosa yaliyo wagharimu msimu huu ni hili.

Nawakumbusha mlichukua ligi mara nne sababu ya viporo, misimu hii mitatu viporo TFF wamevicontrol.Maana nyie wakati kama manakuwaga na viporo zaidi ya vinne.
Mwisho wa siku mtajikuta timu zote mdhamini ni GSM mtashinda vizuri ila kiboko yenu south na wale marefa wenye akili wa caf!
 
CRY MORE Mandunduka...🤣🤣🤣

Yanga inashinda kwasababu ina wachezaji wa viwango vikubwa, wana juhudi, bidii na mbinu, nyie endeleeni kulia

"DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO"
 
Watu wanataka ligi yenye ushindani sio ramadhani kapu!
Simba hadi sasa anaongoza kuipa Yanga ushindi mkubwa! Sioni msingi wa hoja yako zaidi ni kutapatapa na bado mtazidi kuchapika!
 
Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.

wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.

Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.

Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Zilipendwa hizo, pambana na timu yenu mbovu msimu ujao msikose caf confederation
 
Back
Top Bottom