Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Yanga ikishinda wanaochanganyikiwa ni wengi 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa Coastal Union vs Yanga ni mechi nyepesi basi tungeona hilo uwanjani ila Yanga hupata tabu sana akicheza dhidi ya Coastal union na kama unakumbukumbu vizuri, mechi yao ya mwisho Yanga walishinda dakika za mwishoni kabisa goli moja tena kwa sub ya Mudathir na Moloko.Mimi ni mwanachama halali wa coastal union moja ya wadhamini wetu ni GSM pia tunachangia ubingwa wa yanga kila msimu point 6!
Sio kila anae andika kuhusu uto ni kolo ila tumechoshwa na mpira wa maigizo!Kolo kwenye ubora wako.
Mbumbumbu akili zenu ziko makalioni Yani kiufupi amjitambui mpo mpo tu Kama manyumbu, unaposema singida anaitengenezea yanga point za bure kwani kabla ajakutana na yanga kashinda mechi ngapi alipocheza na timu nyingine wanazolingana ubora? Yani apigwe na timu wanazolingana ubora alafu kwa yanga ambayo Iko juu kuzidi timu zote izo ifungwe na singida???? Uko sawa sawa kweli wewe kichwani ama Kuna fyuzi imeachia?Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Nani amekudanganya karia ni mwanachama wa simba!Ingekuwa Coastal Union vs Yanga ni mechi nyepesi basi tungeona hilo uwanjani ila Yanga hupata tabu sana akicheza dhidi ya Coastal union na kama unakumbukumbu vizuri, mechi yao ya mwisho Yanga walishinda dakika za mwishoni kabisa goli moja tena kwa sub ya Mudathir na Moloko.
Ila Simba kumpiga Coast goli 4+ ni swala la kawaida walishafungwa goli 7 na Simba. Na Coastal haikuwa kuifunga Simba ila Yanga imeshawahi kufungwa na Coastal union.
Na la mwisho ni kwamba Karia ni kiongozi wa Coastal union na pia ni mshabiki na mwanachama wa Simba.
Kama timu yako ni imara kwa nini haishindi? Mnakalia porojo badala ya kutengeneza timu. Msimu huu mtashika nafasi ya tatu labda ndiyo mtapata akili.Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Kuna timu nyingine inakwenda kununuliwa muda wowote mtakua na uhakika mwingine muda si mrefu na mpira wenu wa kibongo bongo maendeleo hakuna timu ya taifa kifafa vilabu dege dege kwa mambo yenu ya rushwa mnalazimisha refa awape magoli yasiyostahili!Mbumbumbu akili zenu ziko makalioni Yani kiufupi amjitambui mpo mpo tu Kama manyumbu, unaposema singida anaitengenezea yanga point za bure kwani kabla ajakutana na yanga kashinda mechi ngapi alipocheza na timu nyingine wanazolingana ubora? Yani apigwe na timu wanazolingana ubora alafu kwa yanga ambayo Iko juu kuzidi timu zote izo ifungwe na singida???? Uko sawa sawa kweli wewe kichwani ama Kuna fyuzi imeachia?
Mpira auchezwi chumbani ubora wa yanga ndio unaowapa matokeo ndio maana ata Simba alitandikwa goli 5 Ina maana na nyie mlinunuliwa pamoja na mhindi wenu!!!
Tupo nafasi ya nne tulimpiga mashujaa 2-1 lake tanganyika juzi!Kama timu yako ni imara kwa nini haishindi? Mnakalia porojo badala ya kutengeneza timu. Msimu huu mtashika nafasi ya tatu labda ndiyo mtapata akili.
Siyp powa kabisa aisee! Novemba 2023 tajiri alipenyeza pesa kwa kolon hivi hadi wakala 5. Yanga na matajiri wake wanaharibu ligi sana.Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Saa zingine ujaribu kufikiria kiunamichezo ukiacha huo usimba uliokuwa nao.crystal palace amempiga liverpool,Aston villa amempiga Arsenal mpira unachezwa hivyo sio timu sita zote za mtu mmoja mnafukuza mwizi kumbe wale walio mbele karibu yao ni wenzie wanamsadia mwendo hatari sana kwa hii janja janja!
Mngeshinda kwa penati au walipiga peke yao!Siyp powa kabisa aisee! Novemba 2023 tajiri alipenyeza pesa kwa kolon hivi hadi wakala 5. Yanga na matajiri wake wanaharibu ligi sana.
Tajiri huyu huyu akapenyeza pesa kwa amamelodi hadi kidogo watolewe isingekuwa janjajanja ya kulinunua goli halali.
Mpango WA wazi kabisaNimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Nazungumzia mjumbe wa baraza la wadhamini la klabu ya yanga ndie mmiliki wa klabu mbili za singida je kuna fair hapo hapo mdhamini wa hizo klabu ndie mdhamini mkuu wa yanga!Saa zingine ujaribu kufikiria kiunamichezo ukiacha huo usimba uliokuwa nao.
Kama Yanga ingekuwa inashinda kwa ujanja ujanja basi isingeweza kufuzu robo fainali mbele ya timu kubwa mbili zilizomzidi kwa rank na jeuri ya pesa na timu zinazotokea kwenye mataifa makubwa kimpira ( Al Ahly na Belouizdad)
Lakini Belouizdad atakufa goli 4 ndio wakina Singida watafanya nini?
Kama Simba imekula goli 5 ndio wakna Singida watamuweza Yanga?
Kama Al Ahly ametoshana nguvu na Yanga, na kule Misri wameruhusu goli moja pekee huku timu yako ikipigwa ndani nje, ndio utegemee wakina Singida wataiweza Yanga?
Kama nyie kwenye droo mlifurahia kumkwepa Mamelodi ambaye alikuwa anaohopewa na kila timu wasipangiwe nao na mwisho wa siku Yanga wakapangiwa nao lakini Mamelodi hakufua dafu kwa Yanga ndani ya dakika 180 ndio utegemee wakina Singida wataiweza Yanga?
Kaa kufikia hivyo vitu halafu ujione ulivyokuwa unaongozwa na mihemko ya kishabiki.
Kwa wanao ijua vizuri yanga kauli mbiu yao ni daima mbele nyuma mwiko bishana mpaka ufe!Saa zingine ujaribu kufikiria kiunamichezo ukiacha huo usimba uliokuwa nao.
Kama Yanga ingekuwa inashinda kwa ujanja ujanja basi isingeweza kufuzu robo fainali mbele ya timu kubwa mbili zilizomzidi kwa rank na jeuri ya pesa na timu zinazotokea kwenye mataifa makubwa kimpira ( Al Ahly na Belouizdad)
Lakini Belouizdad atakufa goli 4 ndio wakina Singida watafanya nini?
Kama Simba imekula goli 5 ndio wakna Singida watamuweza Yanga?
Kama Al Ahly ametoshana nguvu na Yanga, na kule Misri wameruhusu goli moja pekee huku timu yako ikipigwa ndani nje, ndio utegemee wakina Singida wataiweza Yanga?
Kama nyie kwenye droo mlifurahia kumkwepa Mamelodi ambaye alikuwa anaohopewa na kila timu wasipangiwe nao na mwisho wa siku Yanga wakapangiwa nao lakini Mamelodi hakufua dafu kwa Yanga ndani ya dakika 180 ndio utegemee wakina Singida wataiweza Yanga?
Kaa kufikia hivyo vitu halafu ujione ulivyokuwa unaongozwa na mihemko ya kishabiki.
Weka ushahidi hapa, Simba tunajuwa mmiliki wake ni Mo Dewji, Lete ushahidi wa Mwigulu kuwa ndio mmiliki.Nazungumzia mjumbe wa baraza la wadhamini la klabu ya yanga ndie mmiliki wa klabu mbili za singida je kuna fair hapo hapo mdhamini wa hizo klabu ndie mdhamini mkuu wa yanga!
Pambana na hali zenu.Sio kila anae andika kuhusu uto ni kolo ila tumechoshwa na mpira wa maigizo!