Acha umbea na woga. Kama wewe ni Simba, jikite kujenga timu yako siyo kutafuta vijisababu vya kutaka kuihsusha Yanga kutokana na udhifu wenu. Kwa mantiki yako hata Mashujaa illifunga Simba ili kuifeva Yanga, Ihefu imaibana Simba ili kufeva Yanga, Magereza iliibana Simba ili kuifeva Yanga, Namungo iliibana Simba ili kuifeva Yanga.
Inasikistisha sana wafuasi wa Simba wanapotaka kudhalilisha ligi yote kwa sababu tu wao hawakuapat. Hii mentality ya tukose wote haiwapeleki Simba mbele. Mwaka juzi tu Simba, Yanga pamoja na timu nyingi kwenye ligi kuu zilikuwa zinadhaminiwa na SportPesa ila kwa vile wakati huo Simba ilikuwa inafanya vizuri hawakuleta hiz lawama za kipumbavu. Leo wamagtelemsha chini wanaanza kutafuta vijisababu nyokonyoko