Hiki Kipupwe ni Komesha! Kwa majobless ni kipindi kigumu Sana

Hiki Kipupwe ni Komesha! Kwa majobless ni kipindi kigumu Sana

Sisi tumeasisi lakini naona modifications zinazofanywa na wengine zinatushangaza hadi sisi
Hiyo ndio huitwa ubunifu, kwahiyo vijana wamekua wabunifu zaidi ili kuendelea gurudumu la kupunguza matumizi yasiyo ya lazima... Naskia kuna watu wanatafuta michoro ya samaki walioungua ili wapate sababu ya kutokula kwamba samaki kaungua so ni kupiga ndefu hadi kesho😂😂😂
 
Back
Top Bottom