sitafutagi visa ila visa vinaniandamaga na mimi sio msiri so naviweka hawani napata nafuu
Bishanga, una habari yoyote ya Eliza wa Tegeta? alipona mafuriko?shem yako kwa nani?
Siyo wewe uliyesema boyfriend wako ni jambazi mwenye mshiko?Ukawa unataka ushauri?
Nisamehe kama nimekosea.
imagine una miezi mitano bila ku.... then mtu anajipulizia manukato ya mpenzi wako kisa unakushawishi wewe to imitate kuwa yeye ni ni BF wako, UNAKOSEA UNAKUBALI TO IMITATE yaan hata ingekuwa wewe ungenasahajakosea chochote ila nashindwa kuelewa kwanini hakuweza kuzuia hicho kitu. Huyo wifi alikuwa baunsa au?
Bishanga, una habari yoyote ya Eliza wa Tegeta? alipona mafuriko?
shem yako kwa nani?
Afadhali... nilikua na wasiwasi. msalimie.alikwama bondeni tegeta nikatuma helokpta yangu imchukue,nimemweka kwenye suite hyatt (zamani kempinski).
Naona umerudi... jibu basi swali langu...
Ni afadhali ya wasiojua chochote kuhusu mungu kuliko wanaojua afu wanatenda kinyume na mapenzi yake....
au vipi Marytina? Babaeleze kwamba 'jf ni zaidi ya waijuavyo'!.
muonja asali haachi kujilamba.
hehehe umeona eeh? kila aloudefine ulezbo kama ni asali basi anaukubali. Hiyo iko wazi kwa wataalamu wa "lugha za ishara"kumbe unaijua tamu ya asali iko wapi eheh,sasa kwa nini ukumbatie tamu ya sukari??? basi hata wewe unaitamani tamu ya asali nimekushtukia
hehehe umeona eeh? kila aloudefine ulezbo kama ni asali basi anaukubali. Hiyo iko wazi kwa wataalamu wa "lugha za ishara"
dear klorokwini
huwa nakuzimia sana ubaya upo kwenye jina lako tu.
Tatizo baadhi ya watu huwa wanapenda na wanaweza sana kutunza siri kwa kweli mimi siri hunitesaga dats why nafunguka then mnanikandia
alikwama bondeni tegeta nikatuma helokpta yangu imchukue,nimemweka kwenye suite hyatt (zamani kempinski).