Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

hajakosea chochote ila nashindwa kuelewa kwanini hakuweza kuzuia hicho kitu. Huyo wifi alikuwa baunsa au?
imagine una miezi mitano bila ku.... then mtu anajipulizia manukato ya mpenzi wako kisa unakushawishi wewe to imitate kuwa yeye ni ni BF wako, UNAKOSEA UNAKUBALI TO IMITATE yaan hata ingekuwa wewe ungenasa
 
aise mambo mengine kwakweli yanashangaza. kama umeona hilo ni kosa basi utubu ndo litatoka kichwani kwako na ikiwezekana mwambie huyo bf wako kuwa uli*** na dada yake, hawezi kumind sana nafikiri mambo ya kukaa kiutu uzima ila yakiharibika usione tabu kurudi jamvini upewe msaada zaidi.
Wish u all the best
 
kumbe unaijua tamu ya asali iko wapi eheh,sasa kwa nini ukumbatie tamu ya sukari??? basi hata wewe unaitamani tamu ya asali nimekushtukia
hehehe umeona eeh? kila aloudefine ulezbo kama ni asali basi anaukubali. Hiyo iko wazi kwa wataalamu wa "lugha za ishara"
 
hehehe umeona eeh? kila aloudefine ulezbo kama ni asali basi anaukubali. Hiyo iko wazi kwa wataalamu wa "lugha za ishara"

dear klorokwini
huwa nakuzimia sana ubaya upo kwenye jina lako tu.
Tatizo baadhi ya watu huwa wanapenda na wanaweza sana kutunza siri kwa kweli mimi siri hunitesaga dats why nafunguka then mnanikandia
 
dear klorokwini
huwa nakuzimia sana ubaya upo kwenye jina lako tu.
Tatizo baadhi ya watu huwa wanapenda na wanaweza sana kutunza siri kwa kweli mimi siri hunitesaga dats why nafunguka then mnanikandia

Nakuzimia too Dear. Nikipata umod nitahakikisha sredi zako zote naziweka sticky.
Unajua nakumbuka zamani The Boss (kama nakumbuka vizuri) alikuja na thred moja anauliza mbona JF watu wote wanaonekana malaika? na kweli ukiangalia maposts ya JF utazani Tanzania hakuna vibaka, malezbo, wauwaji nakazalika.

Wewe ripuka tu bana marytina, waskuzingue
 
Jamani nendeni mkaokoe watu walioadhirika na mafuriko
 
alikwama bondeni tegeta nikatuma helokpta yangu imchukue,nimemweka kwenye suite hyatt (zamani kempinski).

bonde la mkwajuni jangwani keko au ??? tegeta tumekaa kwa mpangilio hata walioko mabondeni walikumbuka kuacha njia za kupita maji na magari!!!
 
Back
Top Bottom