Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hata mie nimeyaelewa hivyo maneno ya Marytina...

Kwetu sie wenye uzoefu...ikitokea ukakutana na kitu kinachoboa kwenye mambo ya MMU na ngono...utakiacha kwenye mlango utakaotokea....Huwezi kukikumbuka tena na huyo mtu anaishia kwenye trash bin!!

Ila huyo Marytina anaandamwa na hilo zimwi indicating kwamba kazi iliyofanywa na wifi imepiga bonge la mhuri ambao umekuwa mgumu kwake kuufuta!!

Na hapa keshapata kipimo, kaka mtu sijui atafanyaje kama hatofikia kiwango hicho, basi itakula kwake!
 
Na hapa keshapata kipimo, kaka mtu sijui atafanyaje kama hatofikia kiwango hicho, basi itakula kwake!

Simple sana,

Ama huyo kaka hana chake tena au atakuwa second best!!

Wengi tunaishi katika maisha ya hivyo na hakuna noma kabisa!!

Bado huyu dada ni shujaa sana!!
 
Kumbe hata Msichana mwenzako unaweza kumtega kwa chu--, mbona naye anazo ama sijakuelewa, mie nilizani mtego kwa wanaume tu!?
Katika hali ya kawaida hutakiwi kuweka vitu vyako nje nje, iwe mbele ya wanaume AU wanawake. Wasalaam!
 
ukameruni huo dada'angu,pole sana ila usirudie tena kwani ni kinyume na maadili ya kitz. then boy wako kuwa mbali kisiwe kigezo cha kufanya uchafu huo ina maana hata kama angekua wa kiume angekunanihii..sio fresh kabisa.
jaribu kuwa mbali na huya dada na mwambie hali halisi kuwa kitendo hicho hujakipenda hata kama ulisikia raha kama ulivyosema,kumbuka UMEMKOSEA SANA MUNGU WAKO NA YAKUPASA UFANYE TOBA YA KWELI.:shock:
 
sisi wakatoliki kuna wimbo mmoja unasema nanukuu'' mwenye afya hamhitaji daktari, anayemwitaji na aliye mgonjwa. sikuja kuwaita watu wema bali mwenye dhambi ili wapate kutubu'' so ma dia nenda katubu mana hata mungu nae anajua tu wadhaifu ndo mana akaleta kitubio.
 
Kweli kabisa na ndio mana twaletewa mafuriko manake zambi zimekuwa nyingi.

Kama ingekuwa ghadhabu ya Mungu..bas uko Copacabana wasngepona..they knw nt only little,bt nothing abt God...Yeye n Mwng wa rehema si mwepesi wa hasira!
 
Katika hali ya kawaida hutakiwi kuweka vitu vyako nje nje, iwe mbele ya wanaume AU wanawake. Wasalaam!

Hapana bwana,

Niliambiwa kuwa kule hostel huwa mnasafula hadi kifaa cha mwisho na kutembea hadi bafuni....kweli au si kweli???
 
Hapana bwana,

Niliambiwa kuwa kule hostel huwa mnasafula hadi kifaa cha mwisho na kutembea hadi bafuni....kweli au si kweli???
Mi sikupitia boarding wala hostel ila naamini tabia za watu zinapishana. watakuepo ambao wanafanya hivo, na wengine hawafanyi. Mi nina tabia ya kujistiri zaidi.
 
Kama ingekuwa ghadhabu ya Mungu..bas uko Copacabana wasngepona..they knw nt only little,bt nothing abt God...Yeye n Mwng wa rehema si mwepesi wa hasira!
Ni afadhali ya wasiojua chochote kuhusu mungu kuliko wanaojua afu wanatenda kinyume na mapenzi yake....
 
Khaaa! We Mwali wewe! Mbona unang'ang'ania kujibiwa hivyo??? Hilo jibu wataka kulifanyia nini?..lol
Sweetlady, hivi unajua hili swali limeninyima usingizi kabisa. yaani kila nikifunga macho najiuliza: kwani Marytina hakuona hatari ya kulalabila nguo??? lol
 
18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
i Kor 6;18
 
Back
Top Bottom