Hiki kitu hakiwakeri wadada

Mwanamke anatakiwa kuwa mzuri no mara waaah. Mwanaume haringi wala hatakiwi kutambia uzuri. Uzuri wa mwanaume sio sura bali ni uwezo wake wa uchumi na kujimudu.

Ingekuwa ni uzuri basi hata Beyonce asingekuwa na Jay Z maana jamaa nae anasura kama goti la ngamia ni pesa tu.
 
Haya sasa! Sisi wenye sura za scratch before, kabla hujaongea na manzi you must stretch your face..

Sema tunatofautiana, sijui anti we unazungumzia yupi!?
-Mwenye sura mbaya,
-Mwenye sura ngumu,
-Mwenye sura chachu,
au Mwenye sura mwarobaini au sura gimbi! 😁

Ukililia sura banana, usiposhiba utalitafuta gimbi!😁
 
🤣🤣🤣🤣wanasema eti hatuna mvuto,wanamdhihaki aliyetuumba
 
🤣🤣
 
Huyu member angepelekwa Hospital. Au mwanaume mmoja ajitolee tu kwa roho safi awe anampelekea moto hata kwa kuvutia hisia mwanamke mwingine. Ana muda inaonekana hajasuguliwa wanaume wanamkwepa sasa ni kama kachanganyikiwa. Msaidieni jamani naye ana mahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…