Hiki kitu hakiwakeri wadada

Hiki kitu hakiwakeri wadada

Mwanamke anatakiwa kuwa mzuri no mara waaah. Mwanaume haringi wala hatakiwi kutambia uzuri. Uzuri wa mwanaume sio sura bali ni uwezo wake wa uchumi na kujimudu.

Ingekuwa ni uzuri basi hata Beyonce asingekuwa na Jay Z maana jamaa nae anasura kama goti la ngamia ni pesa tu.
 
Haya sasa! Sisi wenye sura za scratch before, kabla hujaongea na manzi you must stretch your face..

Sema tunatofautiana, sijui anti we unazungumzia yupi!?
-Mwenye sura mbaya,
-Mwenye sura ngumu,
-Mwenye sura chachu,
au Mwenye sura mwarobaini au sura gimbi! 😁

Ukililia sura banana, usiposhiba utalitafuta gimbi!😁
 
🤣🤣🤣🤣wanasema eti hatuna mvuto,wanamdhihaki aliyetuumba
 
Kiukweli sjawahi kudate na Mwanamke wa jf ever...ninachoamin humu kuna wadada wale wazoefu hasa wa maisha na kilometres zao zmeenda sana.

Mimi i never expect kukutana na mdada mbichi humu ..huo ndo ukwel humu yamejaa madem yaliyomaliza vyuo na single mama..
🤣🤣
 
Huyu member angepelekwa Hospital. Au mwanaume mmoja ajitolee tu kwa roho safi awe anampelekea moto hata kwa kuvutia hisia mwanamke mwingine. Ana muda inaonekana hajasuguliwa wanaume wanamkwepa sasa ni kama kachanganyikiwa. Msaidieni jamani naye ana mahitaji.
 
Back
Top Bottom