Halafu watu wakijeruhiwa au kuliwa na Mamba,yeye mwenyewe anaweza akailaumu serikali,
Hua nawashangaa sana hawa watu wanaobishana kwa chuki za kisiasa au kwa ushabiki wa vyama vyao vya kisiasa,
Kwani hao watu wakishukuru kwa kutatuliwa tatizo lao,yeye mleta mada inamuathiri vipi kwenye maisha yake ya kila siku? au anapata hasara gani wao wakishukuru?