Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hamisa kiboko ya zari
Nawashangaa sana wanaume wanaomlaumu Mondi. Kwanza Zari ndo atakosa pa kujishkiza ila muhuni Mondi bado damu inachemka sanasana ndo atagombaniwa na maduu kibao. Wengine wanasema eti ndo anapotea kwenye game wakati ndo kwanza kina Dj Khalid wanamtupia jicho ... Hebu tusubiri tuone

Kaote tena urudimwache amuondoe tu maana mtoto wa tandale ana mambo ya kishoga sana uyo na ndio anapotea ivyo kwa ajili ya uboya wake
Duh! Hongera mkuu unamoyo wa kilokole, ile familia yote unaipeleka wapi ? Lbd km unataka kupita naye tu usepe zakoNy oko anaanzaje kukosa wakati mimi mwenyewe hendisamu boy namnyapia nyapia