Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let's start this day on a different note, shall we
Ladies and gentlemen I've heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let's look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it's not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don't ever think you are worthless because of another person's mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let's put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE!

Safi sana,aachane na kuhisiwa maumivu,aumizwe yeye wengine wasikitike,songa mbele,kama umeyamaliza na mwenzako hayo makelele yasikuumize kichwa.Nimeyapenda haya maneno yake ya mwisho "You should never look down on yourself, don't ever think you are worthless because of another person's mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let's put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE"
 
Ki ukweli bwn D kaharibu

Labda atunge wimbo akishirikiana na akina Drake

ndio apewe msamaha.
 
Duh! Sihizi side Chic ni main Chic sio bitch tena
 
hili demu nalo pumbafu sana ...lakini hata hivyo used sana mitoto 5 nana atamtaka mwache akomae tu hapo hapo..uzee huoo linawaza birthday kama binti wa miaka 10..mxxxxx
umemsema vibaya mwenzako kama siyo binadamu huyo? hivi huwa mnafikiria nini kutukana wenzenu unafanya utafikiri wewe huzeeki au hutarudi chini...Aisee tumuogopeni Mungu basi
 
Diamond ajiandae kuisoma namba, kusamehewa haimaanishi kinyongo hakipo au moyo aumuumi mwanamke wake huyo,,,
Nawaza tu Episode kama ya wema inamjia taratibu sterling akiwa ze boss lady mwenyewe...kitandani unaambiwa unapendwa then mama anaenda jimwaga na raia wengine on your back and you can't say shit unabaki kuumia tu.
 
kwahiyo ile kimbiza ya wimbo wa Kiba na Dai Seduce Me na Zilipendwa ,imezimwa na hii story mpya?
 
MWISHO WA HAWA NI UKIMWI HUYU BIBIE ABAKI NA WATOTO asake ngawira akiwashwa anatafuta rijali anamkaza na condom bhaaaaaaaaaas
Yaani umeongea jambo la maana sana I wish angesoma huu ushauri wako maana ninacho ona hapo hayupo na mtu anaye jielewa dogo bado ana mawazo ya kitandale
 
Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let's start this day on a different note, shall we
Ladies and gentlemen I've heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let's look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it's not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don't ever think you are worthless because of another person's mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let's put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE!

This is a woman. Zari ndiye mwanamke hasa. Wanaomshauri Nasibu amwanche Zari, wanamwonea wivu!. Wanataka wawe sawa wote, kwa maana ya kuwa na vijimwanamke vipepeto kama haka za Mabet. Mabet ni kahaba pumbavu aliyetayari kutumia njia yoyote hata haramu kupata pesa.

Wanaomshauri eti amwache zari aende na wa Big brother, ni watu wasiojua maana ya mapenzi katika maisha na hasa thamani ya mke bora katika kujenga familia.

Wote wanaomshawishi Zari aachane na mondi au Nasibu amwacha Zari, hawana lengo zuri na Nasibu. Lengo kubwa ni kuja kumcheka mondi baadaye ama kumpeleka wanakotaka, kama vile wanataka wambambikize ndoa na Hamis changudoa PUMBAVU!

ZARI NI MWANAMKE WA PEKEE SANA. NASIBU ANABAHATI YA AJABU SANA KUWA NA MKE KAMA ZARI INGAWA SASA NIMETHIBITISHA NASIBU HAJUI THAMANI YA ZARI KWA KUWA KIWANGO CHAKE CHA UFAHAMU KIKO CHINI SANA.

ZARINA IS A FAMILY WOMAN. NASIBU HANGAIKA NA HAYO MACHANGUDOA WAKO LAKINI UJUE UTAMLILIA ZARI AKIWA HAI!
 
hili demu nalo pumbafu sana ...lakini hata hivyo used sana mitoto 5 nana atamtaka mwache akomae tu hapo hapo..uzee huoo linawaza birthday kama binti wa miaka 10..mxxxxx
Mkuu mbona unaonekana una chuki na MTU ambaye hata hakufahamu?
Used ndio ! ana watoto watano Ndio!!
Hebu weka picha ya huyo wako au wewe mwenyewe ambaye sio used Na huna watoto tuone nani anaonekana amechoka sana??

Wabongo bwana......
 
Ili kuweka mambo sawa Mondi lzm atatoa zawadi moja gharama kubwa sana kumpooza bibie.
Mapenzi ya masupa staa yana mambo sana. Ndio maana wakipata mweleka dunia nzima tunajua.
Nawaonea huruma sana. Kununua mapenzi kwa mapesa mapesa halafu furaha kiduchu. Ngoja niwahi Lachaaz. Mapenzi bure bure tena kiroho safi
 
Acheni wivu. Alizaa na mwanaume mwingine wakati hakuwa katika mahusiano na mtu mwingine!

Ninyi no wonder mnadhalilika misichana ya Tanzania kwamba hamna thamani wala akili. Mtu mwenye ufahamu wake hawezi kushadadia cheating katika mahusiano.

Au hata maana ya cheating hujui?

Mbona yeye kazaa na wanaume wengine huyu bibi vipi
 
Yaani umeongea jambo la maana sana I wish angesoma huu ushauri wako maana ninacho ona hapo hayupo na mtu anaye jielewa dogo bado ana mawazo ya kitandale
zile zote pale clouds zitakuwa ni fix kuna anachotafuta kwa zari khaaa ampotezee bhana mara dilish mara sijui nani na unaweza kushangaa akaibuka mwinginne zari na urembo wote na mipesa yote ahangaike na kitoto hiki kitamuingiza shimoni atii
 
Back
Top Bottom