2001Hivi nyie vijana mnafahamu karne zinahesabiwa vipi?
Karne ya ishirini namoja inaanzia kuhesabiwa tangu lini?
1951Hivi nyie vijana mnafahamu karne zinahesabiwa vipi?
Karne ya ishirini namoja inaanzia kuhesabiwa tangu lini?
Sorry Jan 1, 20001951
The 21st century is the current century of theHivi nyie vijana mnafahamu karne zinahesabiwa vipi?
Karne ya ishirini namoja inaanzia kuhesabiwa tangu lini?
Kikosi bora hakina mtu kama Selemani Matola Veron huo ni ubabaishaji wa aina yakeSimba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.
1.Juma Kaseja Juma
2.Said Swed Kusi
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Athumani Machupa
11.Emanuel Okwi
Coach ni Patrick Phiri
Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.
Corrected(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
To be collected!!! Tuwaachie wenye lugha yao.Fernandes Rodri said:(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
Huwezi kumuacha Seleman Matola hapo.Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.
1.Juma Kaseja Juma
2.Said Swed Kusi
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Athumani Machupa
11.Emanuel Okwi
Coach ni Patrick Phiri
Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.