Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

hata saa mbovu kuna nyakati inasema kweli, tafakari chukua hatua kati ya hao wanawake wengi uliowazungumzia sidhani wote ni wanuka k na mdomo ila walikwambia ukweli kuwa hujiwezi.
 
Iko hivi!

Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa.

Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo ambalo lilishusha performance yangu kwa kufanya nipigie bao moja la counterattack na kuondoka zangu.

Jambo la pili ni kunuka kwa uke, pia hili jambo lilifanya nilifunge goli moja la haraka na kuhepa.

Hayo mambo mawili mkuu pamoja na mambo engine madogo madogo ndiyo yanayosababisha hao wanawake wanione kuwa nina sina nguvu za kiume kumbe sababu ni wao bila kujijua.
Binti Sayuni03 BICHWA KOMWE -
Kwa hiyo wewe nyota yako ni kupata wanawake wanaonuka k na midomo tu? Una tatizo usitafute kichaka cha kuficha madhaifu yako, waone wataalam vinginevyo itakuwa hainyanyuki kabisa hata hicho kimoko utakuwa huambulii.
 
Mkuu hii ni noma
 
Mwanamke mnuka ku** atanisamehe tu nitatafutq namna nikukukimbie hata kabla sijasuuza rungu
 
Back
Top Bottom