Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Mi nikikutana ke lazima aongee kilugha cha kwao kama huyu Mhaya wa hapa Moshi mjini.
Hata Mimi kipindi nasoma Lyamungo niliwafanya wanawake wengi walie Kilio kilichochanganyikana na furaha.

Sasa hivi eti wanawake wanonuka nyuke wanadai sina nguvu za kiume, hawajui kwamba nawapiga goli moja kukwepa harufu.
 
Mkuu Lyamungo ulipita mwaka gani?.
 
Iko hivi!

Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa.

Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo ambalo lilishusha performance yangu kwa kufanya nipigie bao moja la counterattack na kuondoka zangu.

Jambo la pili ni kunuka kwa uke, pia hili jambo lilifanya nilifunge goli moja la haraka na kuhepa.

Hayo mambo mawili mkuu pamoja na mambo engine madogo madogo ndiyo yanayosababisha hao wanawake wanione kuwa nina sina nguvu za kiume kumbe sababu ni wao bila kujijua.
Binti Sayuni03 BICHWA KOMWE -
Anayekusema ajitafakari mara mbilimbili!
Mwenzangu una uwezo wa kula ugali kwa picha ya samaki na ukashiba!

Mi siwezi wangeniona hanithi, maana kunuka nuka kwa mtu mzima ni kuonesha kiwango chake cha kutokujitambua!

Mimi katika mazingira chechefu huwa haisimami hata nikijilazimisha!

Hapo nitajibaraguza kuumwa na kusimama kuvaa na kuondoka na mahusiano kuishia hapo!

Huwa nawashangaa hata wale wanaofumania na kudindisha, huwa saikolojia zao zimekaaje!

Ptuu, nimehisi kinyaa mie.
 
Anayekusema ajitafakari mara mbilimbili!
Mwenzangu una uwezo wa kula ugali kwa picha ya samaki na ukashiba!

Mi siwezi wangeniona hanithi, maana kunuka nuka kwa mtu mzima ni kuonesha kiwango chake cha kutokujitambua!

Mimi katika mazingira chechefu huwa haisimami hata nikijilazimisha!

Hapo nitajibaraguza kuumwa na kusimama kuvaa na kuondoka na mahusiano kuishia hapo!

Huwa nawashangaa wanaofumania na kudindisha, huwa saikolojia zao zimekaaje!

Ptuu, nimehisi kinyaa mie.
Hahahahahahahaha hahahahahaha 🤣🤣 ni noma.
 
Back
Top Bottom