Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Kabisa ilo swala limenishinda kunayo siku nikataka kujaribu nikajifikiria nikaacha hapana ujue sehemu ya mwanaume tofaut na ya kike ya kike umekaa ki hatari sana

Nzivu linatapakaa pote na kuficha sehemu af joto mwingine pichu abadirish kwa siku ana shindia pichu moja hapaba
Kwani mnaduu bila kuoga?
 
Halafu ukishazoea ni kawaida tu, kuna taste flani hivi ipo uvinza, ukiizoea huiachi🤣
Niliathirika na hii kitu ila kwa umri wangu imebidi nijifunze kuacha maana maradhi ni mengi
 
Usafi unahitajika sana wa pande zote mbili ili mchakatano uwe mtamu. Nimefika hatua naweza tu kumwangali dem nikajiambia “ huyu hata anipe bure sitaki”
 
Hapana aisee..situation kama hiyo inaweza kutokea mara moja moja na ni aina ya umalaya, maana unazoazoa tu.
Ukikutana na mtu kuna moments za awali za kukaa pamoja kabla hamjanyanduana, denda na mengine. Utajua tu
Wakati wa maandalizi nina tabia ya kuingiza kidole kisha nanusa kwa sirisiri, nikihisi kisamakisamaki inanikata kinoma
 
Wakati wa maandalizi nina tabia ya kuingiza kidole kisha nanusa kwa sirisiri, nikihisi kisamakisamaki inanikata kinoma
Ukihisi harufu ya kisamaki samaki unaacha au unapiga?
 
Ukihisi harufu ya kisamaki samaki unaacha au unapiga?
Nimewahi kuziacha mara mbili, ila ujue unaondokaje maana akijua kilichokutoa, huwa wana maind sana. Hio kwangu ni starehe tu, sasa siwezi kufanya starehe huku brain inaumia kwa harufu. Ndio maana utaratibu wangu mwingine kabla ya kuanza kufanya hizo mambo mimi lazima nioge, kwa kifupi niwe msafi nisimkere mwenzangu, sasa ikitokea yy hana maandalizi mazuri mm namwagaga moto
 
Iko hivi!

Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa.

Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo ambalo lilishusha performance yangu kwa kufanya nipigie bao moja la counterattack na kuondoka zangu.

Jambo la pili ni kunuka kwa uke, pia hili jambo lilifanya nilifunge goli moja la haraka na kuhepa.

Hayo mambo mawili mkuu pamoja na mambo engine madogo madogo ndiyo yanayosababisha hao wanawake wanione kuwa nina sina nguvu za kiume kumbe sababu ni wao bila kujijua.
Binti Sayuni03 BICHWA KOMWE -
Pole sana mkuu usirudie kupiga show na watu wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom