Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Tafuta tiba acha visingizio,wenzako wanapita mpaka na vichaa wasiojua kuoga na wanapiga shoo vizuri tu!
Yaani mnuka mdomo ukamjulie kitandani? Kwanza mdomo na nyapu viko mbalimbali ukimuweka kifo cha mende,vinakuzuia Nini Wewe kupiga shoo???
Nyie waja mnatesa mbavu zangu, 😂😂😂😂
 
Tafuta tiba acha visingizio,wenzako wanapita mpaka na vichaa wasiojua kuoga na wanapiga shoo vizuri tu!
Yaani mnuka mdomo ukamjulie kitandani? Kwanza mdomo na nyapu viko mbalimbali ukimuweka kifo cha mende,vinakuzuia Nini Wewe kupiga shoo???
😹😹😹 Aache visingizio
 
Iko hivi!

Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa.

Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo ambalo lilishusha performance yangu kwa kufanya nipigie bao moja la counterattack na kuondoka zangu.

Jambo la pili ni kunuka kwa uke, pia hili jambo lilifanya nilifunge goli moja la haraka na kuhepa.

Hayo mambo mawili mkuu pamoja na mambo engine madogo madogo ndiyo yanayosababisha hao wanawake wanione kuwa nina sina nguvu za kiume kumbe sababu ni wao bila kujijua.
Binti Sayuni03 BICHWA KOMWE -
Ndo hao uliwamention mkuu? Wanazingua sana Pole.
 
Tumia mkongo
hayo ya kunuka mdomo usimpige denda
Ananuka uchi unapeleka pua yako kufanya nn
Vaa mask peleka vidole vyako huko chini kwake kisha mfutie puani ukiona ameenda kunawa uso ujue na yeye kapata harufu yake
Hii mbinu ya kivita naitumia sana
Sitaki dharau za kijinga mimi
Na sitaki nishauriwe
Aloooh🤣
 
Unaogopa kuzamia uvinza dogo 😹😹

Ila hizo tabia za kulambana tupu ndio chanzo cha midomo kutoa harufu….!! Unazama unaibuka na cream uso mzima 🤣
Kabisa ilo swala limenishinda kunayo siku nikataka kujaribu nikajifikiria nikaacha hapana ujue sehemu ya mwanaume tofaut na ya kike ya kike umekaa ki hatari sana

Nzivu linatapakaa pote na kuficha sehemu af joto mwingine pichu abadirish kwa siku ana shindia pichu moja hapaba
 
Back
Top Bottom