PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Au nayeye ananuka ndo maana mademu hawapati mzuka naye😁😁Wasionuka wapo wengi tu, tatizo yeye standards zake zipo low sana
Au nayeye ananuka ndo maana mademu hawapati mzuka naye😁😁Wasionuka wapo wengi tu, tatizo yeye standards zake zipo low sana
Ha haaa mi simoooooAu nayeye ananuka ndo maana mademu hawapati mzuka naye😁😁
Anajitetea kijana,Mtu anayenuka mdomo utamgundua kabla hamjaingia kwa bed. Iweje uone ananuka mdomo halafu uendelee nae?
Jitetee vizuri...nguvu zikwapi?
Aseme tu ukweli asaidiwe kupata matibabuAnajitetea kijana,
Standard za buza sio?Wasionuka wapo wengi tu, tatizo yeye standards zake zipo low sana
Ndo zakeStandard za buza si?
Kikwapa hakivumiliki 😂Kikwapa, mdomo hivi vitu viwili vinashusha morali
Hamia basi kwa kuku wa kienyejiHao unaowaona wako vizuri ndo wananuka midomo, usafi wao ni wa nje tu na ndo wale wanaosema 'nyumba ni paa'
HahahaTafuta tiba acha visingizio,wenzako wanapita mpaka na vichaa wasiojua kuoga na wanapiga shoo vizuri tu!
Yaani mnuka mdomo ukamjulie kitandani? Kwanza mdomo na nyapu viko mbalimbali ukimuweka kifo cha mende,vinakuzuia Nini Wewe kupiga shoo???
🐕 style, zote hizoAlie wafundisha kunyonya uke kawaharibu sana
Ahahaha ndio ninyoe uke sijawai na sitowai kufanya ivyo🐕 style, zote hizo