Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

Hadi mtu umepanda naye kitandani ndo ukaanza kupata harufu inaonyesha wazi wewe ndo una tatizo. Jitahidi kufanya mazoezi ya Kegel na ya kukimbia huku ukijiepusha kula na kunywa vitu hatarishi kiafya kama energy drinks na soda. Pia jitahidi uache kutembea na wanawake wengi.... zaidi yaa tuzo ya magonjwa na umaskini hakuna kingine unachoweza ambulia kwenye uzinzi.
 
Hapana aisee..situation kama hiyo inaweza kutokea mara moja moja na ni aina ya umalaya, maana unazoazoa tu.
Ukikutana na mtu kuna moments za awali za kukaa pamoja kabla hamjanyanduana, denda na mengine. Utajua tu
Sasa kama ni hivyo mbona kuna wana ndoa tena watu wanaoheshimika katika nchi yetu wananuka midomo?
 
Sasa kama ni hivyo mbona kuna wana ndoa tena watu wanaoheshimika katika nchi yetu wananuka midomo?
Ukiona mwanandoa ananuka mdomo basi kuna mawili.
1. Ana tatizo la kiafya
2. Ana beef na mwenza wake, hawasogeleani, hawakulani denda na ukute wanalala vitanda tofauti.
 
K
Iko hivi!

Wanawake wengi niliojamiiana nao wananiniona mimi ni mtu nisyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa.

Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo ambalo lilishusha performance yangu kwa kufanya nipigie bao moja la counterattack na kuondoka zangu.

Jambo la pili ni kunuka kwa uke, pia hili jambo lilifanya nilifunge goli moja la haraka na kuhepa.

Hayo mambo mawili mkuu pamoja na mambo engine madogo madogo ndiyo yanayosababisha hao wanawake wanione kuwa nina sina nguvu za kiume kumbe sababu ni wao bila kujijua.
Binti Sayuni03 BICHWA KOMWE -
Mkuu inaonekana unazoa zoa tu wanawake waliojizira na kujichokea na maisha

Jitahidi kitafuta wanawake decent kidogo huwezi kukutana na hizo changamoto mkuu
 
20250323_072454.jpg
Tumia mkongo
hayo ya kunuka mdomo usimpige denda
Ananuka uchi unapeleka pua yako kufanya nn
Vaa mask peleka vidole vyako huko chini kwake kisha mfutie puani ukiona ameenda kunawa uso ujue na yeye kapata harufu yake
Hii mbinu ya kivita naitumia sana
Sitaki dharau za kijinga mimi
Na sitaki nishauriwe
 
Back
Top Bottom