Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Kwanini umeamua kua hivyo?
 
Nlikua nawasikia tu
Siku mmoja alikuja kupangisha mtaani na ndugu yake.nkawa najua ni mkaka.siku nkakutana nae closer dukani nliduwaa
Kumbe ni binti anavaa skinny jeans anashusha mlegezo halafu juu vest manyonyo unayaona kabisa unajua huyu ni binti.anatembea mwendo mdundo wa kiume.halafu hacheki hovyo wala hataki mazoea na mtu.
Kawaida yao, manyonyo huwa wameyabana na waist band, ili yasiwe tisti. Inafikia wakati huwa yashazowea kulala hata akivaa T-shirt huwezi jua mume au mke. Kumbe kidemu! 🤣
 
Nlikua nawasikia tu
Siku mmoja alikuja kupangisha mtaani na ndugu yake.nkawa najua ni mkaka.siku nkakutana nae closer dukani nliduwaa
Kumbe ni binti anavaa skinny jeans anashusha mlegezo halafu juu vest manyonyo unayaona kabisa unajua huyu ni binti.anatembea mwendo mdundo wa kiume.halafu hacheki hovyo wala hataki mazoea na mtu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ulitkaka awe anacheka cheka hovyo
 
Kuna usemi unasema "hakuna bingwa wa malezi". Mkuu, Mtoto akiamua kushindikana anashindikana tu hata kama mzazi amemlea vizuri kiasi gani. Wazazi tuna mtihani sana, Ni kuomba Mungu tu.
Ni kweli.

Wanasema mtoto akiwa mdogo tu ndio wako. Akikuwa ni wa Mungu.

Hivyo ni kumuomba sana Mungu Amuongoe.

Hakuna hodari kwenye ulezi
 
Mengine ni sehemu ya matokeo ya malezi ya mzazi mmoja

Mda wa kumchunguza mtoto ni mdogo sana unakuja kugundua kwa kuchelewa na hapo hata ukijua chanzo kumbadlisha ni ngumu sana
 
Nlikua nawasikia tu
Siku mmoja alikuja kupangisha mtaani na ndugu yake.nkawa najua ni mkaka.siku nkakutana nae closer dukani nliduwaa
Kumbe ni binti anavaa skinny jeans anashusha mlegezo halafu juu vest manyonyo unayaona kabisa unajua huyu ni binti.anatembea mwendo mdundo wa kiume.halafu hacheki hovyo wala hataki mazoea na mtu.
Wengine huzaliwa wa kike lkn huwa na hormones nyingi za kiume.

Hapo unakuta hata ajitahid vp kuwa wa kike haelekei
 
Back
Top Bottom