financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Duh Kiukweli sijafatilia tena ila Mungu atuvushe salama tuJobo bado IPO mpendwa, hujasikia habari za mvua na mafuriko huko Kilimanjaro na Kanda ya Ziwa? TMA taarifa zao hazina uhakika, wanafanya kubahatisha tu.