Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Mama nimeamshwa na mlio wa ajabu wa paka huko nje nikajua wanataka kuniloga sijui 🤓🤓🤓 nilikuwa kwenye usingizi deep sana ukapeperuka na nimelala around saa 6 kasoro hivi!
Dooh pole sasa umeamka kumkimbiza ama hata nje hujatoka unaogopa?😀😀
 
Dooh pole sasa umeamka kumkimbiza ama hata nje hujatoka unaogopa?😀😀
Hahahahah kiusalama huwa tunachungulia dirishani kwanza 😝😝😝! Namuona paka wangu ila analia kiboya na kuna mwengine kama anataja jina langu kipaka paka ile nikaona hee!
Sasa simuoni naona wakaitania mbali huko ila mie silali tena hadi alfajiri ya saa 12
 
Poa poa mrembo, siku inaishaje hapo? Naogopa kulala mapema, kimbunga JOBO hakitabiriki aisee.
Aah jimbi bado una wasiwasi na Jobo, wenzako tushamsahau sahivi hadi kwenye mijumba mibovu tunalala tu😀 (joke)

Siku yangu imeisha vyema namshukuru Mungu, vipi upande wako? Happy Union day!
 
Hahahahah kiusalama huwa tunachungulia dirishani kwanza 😝😝😝! Namuona paka wangu ila analia kiboya na kuna mwengine kama anataja jina langu kipaka paka ile nikaona hee!
Sasa simuoni naona wakaitania mbali huko ila mie silali tena hadi alfajiri ya saa 12
Anakutaja jina?? Uwii ashindwe ktk jina la Yesu, ila usiogope sali lala au una mishe nyingine unataka kufanya why hadi alfajiri?, mi nililala ila naona usingizi umekata kabisa.

Huo mti nyama baki nao kwanza😪😪
 
Mishe ni kuchati jf tu aisee! Sina jambo bora tungekuwa karibu labda kuna shughuli tungeweza fanya kwani usingizi umezingua 🤓
 
sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
You are a GAY bro..!!!!!

Duuuuuh

Sasa vile nikinya kimba gumu tuu linavyouma nateseka sanaa na kuumia "sphincter muscles zinauma balaa"

Sasa wewe mwanaume mwenzako anapitisha mboo dah SI NOMA HIYOO..!!!

#YNWA
 
Aah jimbi bado una wasiwasi na Jobo, wenzako tushamsahau sahivi hadi kwenye mijumba mibovu tunalala tu😀 (joke)

Siku yangu imeisha vyema namshukuru Mungu, vipi upande wako? Happy Union day!
Jobo bado IPO mpendwa, hujasikia habari za mvua na mafuriko huko Kilimanjaro na Kanda ya Ziwa? TMA taarifa zao hazina uhakika, wanafanya kubahatisha tu.
 
Back
Top Bottom