Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #41
YANGA, kuna mahali wanafeli.Anacheza namba ngap uwanjani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YANGA, kuna mahali wanafeli.Anacheza namba ngap uwanjani?
Muulize injinia Herse yuko wapi ?!Mmeshindwa kwa wachezaji sasa mmehamishia POROJO upande huo
Mkuu kuwa na subiraAnacheza namba ngap uwanjani?
Jiulize bei ya mchezaji bora wa dunia na bei ya kocha bora wa dunia kisha utajua kwa nn TIMU ZINAVUNJA BANK KWA WACHEZAJIMkuu kuwa na subira
wape salaaam
Mkuu tulia sisi ndo wazee wa kazi timu ya wananchi.Mmeshindwa kwa wachezaji sasa mmehamishia POROJO upande huo
Yupo Congo hapo kafuata saini za mafundi Tuisila Kisinda, Mukoko Tonombe, Yanick Bangala pamoja na Jean Marc Makusu Mundele.Muulize injinia Herse yuko wapi ?!
Kwa international matches, hiyo list itafaa mechi za nyumbani, lakini mechi ngumu za ugenini kama Raja, Al Ahly na Mazembe toa Larry weka FragaKama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'View attachment 1539355
Eti timu ya "wananchi" kwa vle hamna pesa ni mwendo wa MIBAKULI. Nakukumbusha zle zama za MANJI haikuitwa ya hao unaowaita wananchi. Mjitafakari aiseeMkuu tulia sisi ndo wazee wa kazi timu ya wananchi.
Wape salaaam
Hahaa Mkuu sisi ndio mabingwa wa kihistoria na pia Yanga sc ni kubwa kuliko MANJI.Eti timu ya "wananchi" kwa vle hamna pesa ni mwendo wa MIBAKULI. Nakukumbusha zle zama za MANJI haikuitwa ya hao unaowaita wananchi. Mjitafakari aisee
Yaan nyie ni wazur wa kujibadilishia majina. Mara oooh hv mara vilee. NGOJA NA HILO JINA SIMBA ILIFUTE. Back to back mpka mtaomba poooHahaa Mkuu sisi ndio mabingwa wa kihistoria na pia Yanga sc ni kubwa kuliko MANJI.
Wape salaaaaaam
Hahahaaa Mkuu mimi ni Simba damu siwezi kuwa shabiki wa Utopolo aisee.Yaan nyie ni wazur wa kujibadilishia majina. Mara oooh hv mara vilee. NGOJA NA HILO JINA SIMBA ILIFUTE. Back to back mpka mtaomba pooo
Tutajua who will have the last laughKawaumiza kweli. This is simba
Siwezi kujiunga na mikia...Mimi ni mwananchi...Karibu simba, tunakuhitaji
Yaan nyie ni wazur wa kujibadilishia majina. Mara oooh hv mara vilee. NGOJA NA HILO JINA SIMBA ILIFUTE. Back to back mpka mtaomba pooo
Ha ha ha, saaaafiHahahaaa Mkuu mimi ni Simba damu siwezi kuwa shabiki wa Utopolo aisee.
Simba nguvu moja[emoji123]
hakuna beki wa kumuweka wawa nje hapo kenedy onyango na ame wagombanie hyo namba nneToa Wawa weka Ame.
Toa Mkude weka Fraga
Binafsi, namkubali sana Wawa. Na anaonesha uwezo.hakuna beki wa kumuweka wawa nje hapo kenedy onyango na ame wagombanie hyo namba nne
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]yaani YAnga wamsajili Mundele?Yupo Congo hapo kafuata saini za mafundi Tuisila Kisinda, Mukoko Tonombe, Yanick Bangala pamoja na Jean Marc Makusu Mundele.
Wape Salaaaaaam.
Hajui ata mshahara wa Mundele, Mil 85/month.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]yaani YAnga wamsajili Mundele?
Acha mzaha wewe. Huyo mundele aliuzwa uarabuni zaidi ya milioni 900
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app