Morrison ni sawa na messi sio mzuri kurudi kusaidia kukaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morrison ni sawa na messi sio mzuri kurudi kusaidia kukaba
Nimeona post moja yuko uwanja wa Ndege ndo anarudi,, fraga yupoUnajua Fraga, anaweza kuondoka. Maana aliomba kuondoka. Labda tusubiri taarifa rasmi.
Saw a mkuu, nami nimeionA.Nimeona post moja yuko uwanja wa Ndege ndo anarudi,, fraga yupo
Mkuu, salute.Kwa international matches, hiyo list itafaa mechi za nyumbani, lakini mechi ngumu za ugenini kama Raja, Al Ahly na Mazembe toa Larry weka Fraga
Tatizo la Wawa hawezi zuia mipira ya juu ya Kross au kona.hakuna beki wa kumuweka wawa nje hapo kenedy onyango na ame wagombanie hyo namba nne
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Ongeza na Karia, Kidau pamoja na Ndimbo kwa nini tusichukue back to back!?Back to Back miaka yote ubingwa ni msimbazi pekee.
1. Manula
2. Kapombe / Wawa
3. Shabalala
4. Ame from Coast Union
5 Joshi Onyango
6. Fraga dos Santos
7. Moquisone LuiZ danger
8. CCC
9. Chris Mugalu
10. Rally Bwalya locomotive
11. Morrisone
12. Mohammedi MO.
Hasta La Vista.
duuh sasa nani atakaba pembeni. ukipanga hivi hata Dodoma Fc inakufunga
we ni kama mimi tuBila Fraga sijakubali..yule mwamba Ni shida
kwa haya mapicha anayorusha Injinia uchwara ole wake asirudi na kitu. Yanga watamla tako. Hataki kubadilika kabisa,amepiga mapicha na Papy,BM kumbe sanaa. Awe na usiri ili hata deal likikwama hakuna anayejua zaidi ya uongoziKocha wa timu B kocha wetu mkuu atawasili ndani ya siku mbili (Ibenge)
Wape salaaaam
Daima mbele nyuma mwiko
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯 kwa hiko kikosi chake ukiangalia karibia wachezaji wote Si wakabaji so fraga ndio mtu sahihi kucheza instead of mkude kwa sababu naturally fraga Ni defensive midfielder kama kante wakati mkude Ni holding midfielder Kama wakina jorginho wa ChelseaToa Wawa weka Ame.
Toa Mkude weka Fraga
Kikosi hakina mkabaji ondoa mkude weka Fraga na wawa sio beki ni mzito sana hapo angecheza AME kazi chafu anaziwezaKama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'View attachment 1539355
Ngojea akutane na winga zenye Kasi utamkataa Wawa Ni Bora kwa ligi yetu only not otherwise.Me namkubali Kenneth JumaBinafsi, namkubali sana Wawa. Na anaonesha uwezo.
Watu hawamjui wawa akiwa pressed anachoweza kufanya ni kumpiga MTU kwanja na kupata Red ,pili Magoli mengi simba inafungwa kwa set pieces ,yanga walipogundua wamemsajiri mwamyeto bila AME waliona kosa kubwa kwasababu wamesajiri kiongozi(sweeper) ambaye anaitaji MTU wa kumtuma ambaye ni mwepesi ,Simba wakaingilia Kati kuharibu dili.Josh&Ame wanaweza kuleta kitu kwenye defenceNgojea akutane na winga zenye Kasi utamkataa Wawa Ni Bora kwa ligi yetu only not otherwise.Me namkubali Kenneth Juma
Refer mechi ya Simba na Yanga ya 2 - 2 Wawa aliteswa sana na Ditram Nchimbi.Ngojea akutane na winga zenye Kasi utamkataa Wawa Ni Bora kwa ligi yetu only not otherwise.Me namkubali Kenneth Juma
Wewe sio yangaMimi ni shabiki nguli wa Timu ya wananchi Young Africans Sc, kusema ukweli nakosa amani kabisa kila nikifikiria tutakutana na Simba sc mara mbili kwenye ligi kuu msimu ujao, na kila nikiangalia kikosi chao kinavyotisha naona tukipigwa 5 tena kama kipindi kile.
Daima mbele nyuma mwiko.
Simba tuna mpango wa kuchukua mara 20 mfululizo ili kuwaondolea hiyo sifa hewa ya MABINGWA WA KIHISTORIAHahaa Mkuu sisi ndio mabingwa wa kihistoria na pia Yanga sc ni kubwa kuliko MANJI.
Wape salaaaaaam
Hata hawa🐒🐒🐒 pia wanayo mikia.mikia fc.
Hapo hata Yanga anakufaduuh sasa nani atakaba pembeni. ukipanga hivi hata Dodoma Fc inakufunga
Senzo naye ameanzaa mazoezi???Tumeshaanza mkuu tunataka kuondoa ufalme wa mnyama Simba, maana katutesa sana hii miaka mitatu.
Daima mbele nyuma mwiko