NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hapa ndo nilipopataka mimi,Back to Back miaka yote ubingwa ni msimbazi pekee.
1. Manula
2. Kapombe / Wawa
3. Shabalala
4. Ame from Coast Union
5 Joshi Onyango
6. Fraga dos Santos
7. Moquisone LuiZ danger
8. CCC
9. Chris Mugalu
10. Rally Bwalya locomotive
11. Morrisone
12. Mohammedi MO.
Hasta La Vista.
formation ya kikosi cha hivi karibuni naona ilikuwa inafaa sana. kuweka defensive mido Fraga na Mkude. Chama/Bwalya, Morison/Kahata na Luis wanatosha kumsaidia striker mmojaHapa ndo nilipopataka mimi,
Mkude kwa fraga inatakiwa asubiri kwanza kikao kiishe.
Mkuu Simba imeundwa kupitia Mkude mifumo mingi yakiuchezaji ya Simba inamtaka Mkude awepo uwanjani ndie anae ishape timu na kuitaka timu icheze kwa rythm ipi, hapo nikuangalia unacheza na nani na unaiaproach game vipi.ofcourse Fraga ni mchezaji muhimu pia, ni iron man wakutibua mipango chanya ya wapinzani.Mkude anasubiri kwa Fraga kwa sasa
SIMBA SC YAFUNGA USAJILI WAKE KWA CHRISTOPHER MUGALU, TUKUTANE SIMBA DAY
_________________________
OUT/NJE. IN/NDANI.
__[emoji3596]_____&&&&&___[emoji3596]__
1:Haruna Shamte - David Kameta
2:Tairone Santos - Joshua Onyango (Gor Mahia)
3:Yusuph Mlipili - Ibrahim Ame (Coastal Union)
4: Sharaf Shiboub - Larry Bwalya (Power Daynamos)
5: Deogratius Kanda - Benard Morrison (Yanga SC)
6: Walker Da Silva - Christopher Mugalu (Lusaka Daymanos)
7: Rashid Juma - Charles Ilamfya(KMC).
Ripoti ya SVEN ilisema nyota saba(7) wakigeni na nyota wanne (4) wakigeni na nyota watatu(3) wakizawa.
Mazoezi ya Simba SC yataanza kesho Jumatatu 17, Aug 2020. (MO Simba Arena) chini ya kocha SVEN ambaye leo katua nchini kuelekea Kwenye 'Tamasha Ya SIMBA DAY' litakalofanyika Jumamosi 22,Agosti 2020. Uwanja Wa Mkapa.
Kulitaka mwana, Kulipewa mwana.
cc OKWI BOBAN SUNZU
Walianza bila kocha😂😂utopolo bwana.Haha , Nyie mnaanza mazoezi lini.
Hiviiii?🤔Unajua Fraga, anaweza kuondoka. Maana aliomba kuondoka. Labda tusubiri taarifa rasmi.
Mzee naona unatamani tusiweke beki kabisa hahahahah.
Manyani Sportive Club[emoji1664][emoji204][emoji204][emoji1664][emoji205][emoji205][emoji205][emoji204][emoji1664]mikia fc.
Hapa unanikumbusha. Msimu uliopita ilitakiwa aanze either Boko or Kagere. Makocha wote walishindwa kuamua. Lakini Scevn aliweza kumpiga bechi mmoja. Hii imekaa vzuri hasa kwa kahata/BM na Chama/Bwalya. PamojA.formation ya kikosi cha hivi karibuni naona ilikuwa inafaa sana. kuweka defensive mido Fraga na Mkude. Chama/Bwalya, Morison/Kahata na Luis wanatosha kumsaidia striker mmoja
Nimekuelewa Ofsa. Asante kwa ushauri huo.Panga upangavyo, mkude na fraga waanze pamoja, wameonesha kitu kikubwa sana msimu huu walipocheza pamoja
Umesahau jingine, Wazururaji Fc.Manyani Sportive Club[emoji1664][emoji204][emoji204][emoji1664][emoji205][emoji205][emoji205][emoji204][emoji1664]
Umesahau jingine, Wazururaji Fc.
We unakielewa alichoenda kukifanya Injiania Hersie kama si uzururaji.
Anawadhalilisha ' MaEngeneer ' Tumkumbushe Ligi itaanza 06/09. Asije akasema SimbA SC anahonga timu pinzani ili zimkazie uwanjani.View attachment 1540046
tazama hii aibu. hakuna anayejua anaenda kufanya nini. pengine anatafuta mchezaji,sasa nini tija ya picha hizo,kwa nini isiwe japo la kimya na matokeo ndiyo yawe wazi? asipofanikiwa atawaambia nini mashabiki.
Anawapumbaza mashabiki.View attachment 1540046
tazama hii aibu. hakuna anayejua anaenda kufanya nini. pengine anatafuta mchezaji,sasa nini tija ya picha hizo,kwa nini isiwe japo la kimya na matokeo ndiyo yawe wazi? asipofanikiwa atawaambia nini mashabiki.